johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hatua moja huwa inaanzisha nyingine, subiri kwanza serikali wapunguze kodi ndio uje na hili swali lako.Na nyie ada za shule zenu na gharama za matibabu mnapunguza?
Zitapunguzwa bwashee!Na nyie ada za shule zenu na gharama za matibabu mnapunguza?
Hakika mkuu!Hatua moja huwa inaanzisha nyingine, subiri kwanza serikali wapunguze kodi ndio uje na hili swali lako.
Hawajapunguza kwenye mahospitali ya kanisa ambayo serikali inabeba zigo la kulipa wauguzi na nadaktari mfano KCMCZitapunguzwa bwashee!
Ngoja tuone bwashee!Hawajapunguza kwenye mahospitali ya kanisa ambayo serikali inabeba zigo la kulipa wauguzi na nadaktari mfano KCMC