Askofu Shoo: Yanayotendeka katika nchi hii yanasikitisha, Watanzania pigeni magoti mbele ya Mungu atajibu

hivi huyu hayupo kwenye chama kile cha TEC? Kama yupo wakipewaga mualiko wanaongeaga nini na maRais, au ndo wanaishia kuombea amani tu? Maana sielewagi mtu mwenye kum-face almost Rais atleast mara mbili kwa mwaka anakuja kutulalamikia tena sisi raia wa kawaida

Edit: baada ya mapovu mengi,nimeconfuse TEC na CCT( jumuiya ya Kikristo) ambayo Shoo ni makamu mwenyekiti
 
hivi huyu hayupo kwenye chama kile cha TEC? Kama yupo wakipewaga mualiko wanaongeaga nini na maRais, au ndo wanaishia kuombea amani tu? Maana sielewagi mtu mwenye kum-face almost Rais atleast mara mbili kwa mwaka anakuja kutulalamikia tena sisi raia wa kawaida
Mkuu Tec ni wakatoliki huyu ni KKKT kumbe hata huelewi unahukumu tu!
 
Nyie akili zenu ni mbovu mmezoea kuonewa na hata hamuoni mpo kwenye shida yoyote pengine kwa sababu mmezaliwa kwenye shida zaidi, kuweni na akili!
hivi huyu hayupo kwenye chama kile cha TEC? Kama yupo wakipewaga mualiko wanaongeaga nini na maRais, au ndo wanaishia kuombea amani tu? Maana sielewagi mtu mwenye kum-face almost Rais atleast mara mbili kwa mwaka anakuja kutulalamikia tena sisi raia wa kawaida

Huyu jamaa si Ni mchagga? Sioni jipya toka kwake!!!!

Kamanda Askofu Shoo ameamua kuingia kazini baada ya maji ya Gaidi Mbowe kumfika shingoni.

Ni Askofu ila lina roho mbaya kama sura lake.
 
Safi sana Askofu. Mungu akulinde sana. Sisi wakatoliki viongozi wetu hawayaoni haya matendo ya serikali?
 
Back
Top Bottom