Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,176
- 10,068
TEC ni ya Wakatolikihivi huyu hayupo kwenye chama kile cha TEC? Kama yupo wakipewaga mualiko wanaongeaga nini na maRais, au ndo wanaishia kuombea amani tu? Maana sielewagi mtu mwenye kum-face almost Rais atleast mara mbili kwa mwaka anakuja kutulalamikia tena sisi raia wa kawaida