The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa vitongoji na vijiji unaotarajiwa kufanyika novemba 27 mwaka huu, Askofu Mkuu wa Kanisa Anglikana Tanzania na Dayosisi ya Tanga Maimbo Mndolwa ametoa wito kwa watanzania kuchagua viongozi wakufaa bila kujali itikadi za vyama vya siasa.
Askofu Mkuu Maimbo Tanzania na Tanga amesema uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 ni maandalizi kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2025 hivyo watanzania wanapaswa kushiriki kikamilifu ili kuandaa mazingira bora ya uchaguzi Mkuu.
Soma pia: Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) watoa wito wananchi kushiriki uchaguzi serikali za mitaa
Aidha alitoa wito kwa viongozi wakiwemo wahudumu wa Kanisa Anglikana kushirikiana na Taasisi za dini zote nchini kuelimisha watu kushiriki uchaguzi huo.