Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa vitongoji na vijiji unaotarajiwa kufanyika novemba 27 mwaka huu, Askofu Mkuu wa Kanisa Anglikana Tanzania na Dayosisi ya Tanga Maimbo Mndolwa ametoa wito kwa watanzania kuchagua viongozi wakufaa bila kujali itikadi za vyama vya siasa.
Askofu Mkuu Maimbo Tanzania na Tanga amesema uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 ni maandalizi kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2025 hivyo watanzania wanapaswa kushiriki kikamilifu ili kuandaa mazingira bora ya uchaguzi Mkuu.
Aidha alitoa wito kwa viongozi wakiwemo wahudumu wa Kanisa Anglikana kushirikiana na Taasisi za dini zote nchini kuelimisha watu kushiriki uchaguzi huo.

Kuna ujumbe 'embedded' humo humo kwenye taarifa kuhusu maswala hayo. Askofu hakutaka kuwa bayana; vinginevyo, hakuwa na sababu yoyote ya kuzungumzia uchaguzi.

Sasa hivi wanahongwa magari na pesa, tena waziwazi,; hakuna dharau zaidi ya hiyo.
Wale wa Kenya wamekuwa wawazi na Ruto, hapa kwetu bado kuna wanufaika wa hali ilivyo. Mbaya zaidi, wale wa dini upande wa pili ni kama hawaoni ubaya wowote. Hali hiyo inaleta mgawanyiko.
Askofu ninkama amepindisha kauli yake. Alikusudia kusema siku moja kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa parapanda Italia, na kuna mwili utazungushwa nchi nzima na kuhitimisha safari yake visiwani.