GE2025 Askofu Wolfgang Pisa anamaanisha nini anaposema kabla ya kwenda kupiga kura 'tathmini dhamiri yako'?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
"Kabla ya kwenda huko tathmini kidogo dhamiri yako, lakini dhamiri inaweza kuwa potofu isipokuwa na uelewa wa kutosha. Tuachane na dhamiri potofu, dhamiri yako itakuwaje safi na kamili? Kwanza muwe na uelewa wa kutosha kwa hicho unachoenda kufanya, Usikilize dhamiri yako kuhusu Ukweli na ile iliyo sawa kwamba katika hili kweli ni lipi? na lililo la haki ni lipi? Soma neno la Mungu likuongoze, Pitia amri za Mungu, Sali juu ya hiyo, ihoji dhamiri yako na hapo ufanye uamuzi wako."

Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ambaye pia ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi Mhashamu Wolfgang Pisa O.F.MCap ametoa ujumbe leo Septemba 25, 2025 alipopiga marufuku kwa watawa kujihusisha na kampeni za siasa.

Je, ujumbe huu kimkakati unatukumbusha kuhusu 'No reforms no election?
 
Najiuliza kati ya Roman na Rula kipi kimenyooka!?
 
Anamaanisha kabla hujaenda kupiga kura ya hapana, fikiria kwanza jinsi kura yako itakavyo badilishwa na kuwa ndiyo, hivyo unakuwa umeshiriki katika dhambi moja kwa moja, maana kalatasi ulichukua ww na ukaweka ww japo mawozo siyo yako...
 
Ni utaahira mkubwa sana kwenda kupiga kura ilhali INEC wamekwisha kupika matokeo wanasubiri tu kuyatangaza.

Tarehe 29 oct, tutatumia haki yetu ya msingi kupga kura, na hakuna kenge atakayetuzuia kupga kura hata mara moja. Tutapga kura na hakuna kitu mtafanya.

Na nyie mnaotaka kutumia haki ya kuandamana, itumieni.

Swali: Kwanini tarehe 29 oct?

NADHANI KILA MMOJA ATAPATA MAJIBU YA HAKI YAKE ALIYOITUMIA TAREHE 29 OCT.
 
"Kabla ya kwenda huko tathmini kidogo dhamiri yako, lakini dhamiri inaweza kuwa potofu isipokuwa na uelewa wa kutosha. Tuachane na dhamiri potofu, dhamiri yako itakuwaje safi na kamili? Kwanza muwe na uelewa wa kutosha kwa hicho unachoenda kufanya, Usikilize dhamiri yako kuhusu Ukweli na ile iliyo sawa kwamba katika hili kweli ni lipi? na lililo la haki ni lipi? Soma neno la Mungu likuongoze, Pitia amri za Mungu, Sali juu ya hiyo, ihoji dhamiri yako na hapo ufanye uamuzi wako."

Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ambaye pia ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi Mhashamu Wolfgang Pisa O.F.MCap ametoa ujumbe leo Septemba 25, 2025 alipopiga marufuku kwa watawa kujihusisha na kampeni za siasa.

Je, ujumbe huu kimkakati unatukumbusha kuhusu 'No reforms no election?
La kweli ni lipi?
Lililo la haki ni lipi?
-Maswali konki kabisa ya kujiuliza.
It's obvious that we're under terrible dictatorship rule, a tyrant regime na namna ya kuwatoa imekuwa ngumu kwani wanatawala ki'Mafia sana. Wanavikosi vyao unofficial ambavyo live wanaweza kukwambia tutakuua and within few days utasahaulika hata kama watu watapiga kelele kwa kiasi gani na hili tuna mifano halisi kama ya Ali Kibao na Mdude Nyangali.
Ni bora ameona kuwe na awareness at least kila atakayeenda kupiga kura asiende tu blindly kwa kuwa brainwashed na kauli za 'haki yako ya kupiga kura', mbona haki nyingine hawataki raia awe nazo kama haki ya kumpinga mtawala haradharani, kutoa maoni yanayokinzana na ya chama tawala, haki ya kuandamana unapopinga utekaji au kusema hadharani kuwa watekaji hujitambulisha kama polisi, huwa na silaha za moto pamoja na pingu, huteka mbele ya watu mchana kweupe na mkiwa-contain mnaambiwa mara ni watumishi wa serikali walikuwa kazini labda TRA and the likes, kuna watekaji wanarekodiwa na clips hurushwa mitandaoni lakini hauwezi kusikia polisi wakizungumzia lakini wakikamata kibaka wa kawaida mpaka huitisha press conferences.
Nchi imefika pabaya sana.
 
"Kabla ya kwenda huko tathmini kidogo dhamiri yako, lakini dhamiri inaweza kuwa potofu isipokuwa na uelewa wa kutosha. Tuachane na dhamiri potofu, dhamiri yako itakuwaje safi na kamili? Kwanza muwe na uelewa wa kutosha kwa hicho unachoenda kufanya, Usikilize dhamiri yako kuhusu Ukweli na ile iliyo sawa kwamba katika hili kweli ni lipi? na lililo la haki ni lipi? Soma neno la Mungu likuongoze, Pitia amri za Mungu, Sali juu ya hiyo, ihoji dhamiri yako na hapo ufanye uamuzi wako."

Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ambaye pia ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi Mhashamu Wolfgang Pisa O.F.MCap ametoa ujumbe leo Septemba 25, 2025 alipopiga marufuku kwa watawa kujihusisha na kampeni za siasa.

Je, ujumbe huu kimkakati unatukumbusha kuhusu 'No reforms no election?

..Askofu atangaze watu wasiende kupiga kura.

..Huu sio muda wa kuzungumza kwa mafumbo, na kujifichaficha.
 
Tarehe 29 oct, tutatumia haki yetu ya msingi kupga kura, na hakuna kenge atakayetuzuia kupga kura hata mara moja. Tutapga kura na hakuna kitu mtafanya.
Na nyie mnaotaka kutumia haki ya kuandamana, itumieni.
Swali: kwa nini tarehe 29 oct?
NADHANI KILA MMOJA ATAPATA MAJIBU YA HAKI YAKE ALIYOITUMIA TAREHE 29 OCT.
Daaaah maskini nchi yangu Tanganyika
 
Back
Top Bottom