comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Hilo jina wolfgang nawaza ni jina lenye asili ya wapi
RolaNajiuliza kati ya Roman na Rula kipi kimenyooka!?
Hilo jina wolfgang nawaza ni jina lenye asili ya wapi
Sijawahi kulisikia..asili yake ni Ujerumani ya karne za zamani.
Sijawahi kulisikia
"Bora ukose mali, kuliko akiiiili, kwani Elimu ni bahari haina mwisho"Tarehe 29 oct, tutatumia haki yetu ya msingi kupga kura, na hakuna kenge atakayetuzuia kupga kura hata mara moja. Tutapga kura na hakuna kitu mtafanya.
Na nyie mnaotaka kutumia haki ya kuandamana, itumieni.
Swali: kwa nini tarehe 29 oct?
NADHANI KILA MMOJA ATAPATA MAJIBU YA HAKI YAKE ALIYOITUMIA TAREHE 29 OCT.
Kuhalalisha dhambi hapana...."Kabla ya kwenda huko tathmini kidogo dhamiri yako, lakini dhamiri inaweza kuwa potofu isipokuwa na uelewa wa kutosha. Tuachane na dhamiri potofu, dhamiri yako itakuwaje safi na kamili? Kwanza muwe na uelewa wa kutosha kwa hicho unachoenda kufanya, Usikilize dhamiri yako kuhusu Ukweli na ile iliyo sawa kwamba katika hili kweli ni lipi? na lililo la haki ni lipi? Soma neno la Mungu likuongoze, Pitia amri za Mungu, Sali juu ya hiyo, ihoji dhamiri yako na hapo ufanye uamuzi wako."
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ambaye pia ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi Mhashamu Wolfgang Pisa O.F.MCap ametoa ujumbe leo Septemba 25, 2025 alipopiga marufuku kwa watawa kujihusisha na kampeni za siasa.
Je, ujumbe huu kimkakati unatukumbusha kuhusu 'No reforms no election?
Kama kipimo cha kuwa na akili ni kuungana na tundu lissu, basi acha kila mtu abaki na akili yake."Bora ukose mali, kuliko akiiiili, kwani Elimu ni bahari haina mwisho"
Shida sio kumpigia kura unampigia kura dhidi ya nani Suleiman Mwalim?Kila mtu mwenye akili timamu na anayeipenda nchi yake ya Tz ni lazima ampinge sa100 eidha kwa uwazi au kwa kificho!.
Ukiondoa wateule na machawa yanayoishi kwa kulamba makalio ya viongozi!.
Ujumbe upo wazi na wala hauchanganyi chochote."Kabla ya kwenda huko tathmini kidogo dhamiri yako, lakini dhamiri inaweza kuwa potofu isipokuwa na uelewa wa kutosha. Tuachane na dhamiri potofu, dhamiri yako itakuwaje safi na kamili? Kwanza muwe na uelewa wa kutosha kwa hicho unachoenda kufanya, Usikilize dhamiri yako kuhusu Ukweli na ile iliyo sawa kwamba katika hili kweli ni lipi? na lililo la haki ni lipi? Soma neno la Mungu likuongoze, Pitia amri za Mungu, Sali juu ya hiyo, ihoji dhamiri yako na hapo ufanye uamuzi wako."
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ambaye pia ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi Mhashamu Wolfgang Pisa O.F.MCap ametoa ujumbe leo Septemba 25, 2025 alipopiga marufuku kwa watawa kujihusisha na kampeni za siasa.
Je, ujumbe huu kimkakati unatukumbusha kuhusu 'No reforms no election?
Haswa hiyo ndiyo pointMaana yake bila mabadiliko hakuna uchaguzi
Mkubwa mwenye busara anaweza kukuambia usifanye kitu bila kukuambia usifanye kitu."Kabla ya kwenda huko tathmini kidogo dhamiri yako, lakini dhamiri inaweza kuwa potofu isipokuwa na uelewa wa kutosha. Tuachane na dhamiri potofu, dhamiri yako itakuwaje safi na kamili? Kwanza muwe na uelewa wa kutosha kwa hicho unachoenda kufanya, Usikilize dhamiri yako kuhusu Ukweli na ile iliyo sawa kwamba katika hili kweli ni lipi? na lililo la haki ni lipi? Soma neno la Mungu likuongoze, Pitia amri za Mungu, Sali juu ya hiyo, ihoji dhamiri yako na hapo ufanye uamuzi wako."
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ambaye pia ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi Mhashamu Wolfgang Pisa O.F.MCap ametoa ujumbe leo Septemba 25, 2025 alipopiga marufuku kwa watawa kujihusisha na kampeni za siasa.
Je, ujumbe huu kimkakati unatukumbusha kuhusu 'No reforms no election?
Na pia hawasomi magazeti wala kuangalia TV. Inawezekana wote wana viswaswadu.Kumbe wale watawa walilaghaiwa
Mimi naona wananchi wasijitokeze kupiga kura basi sio kuandamanaTarehe 29 oct, tutatumia haki yetu ya msingi kupga kura, na hakuna kenge atakayetuzuia kupga kura hata mara moja. Tutapga kura na hakuna kitu mtafanya.
Na nyie mnaotaka kutumia haki ya kuandamana, itumieni.
Swali: kwa nini tarehe 29 oct?
NADHANI KILA MMOJA ATAPATA MAJIBU YA HAKI YAKE ALIYOITUMIA TAREHE 29 OCT.
Shida na kosa la Tundu Lissu ni lipi tunaacha kutimiza uwajibu wetu kuwajibisha wezi kwenye ripoti ya CAG tunakimbizana na Lissu watu wanafichua document za ufisadi Wewe unakemea kuvuja kwa document za ufisadi wananchi kujua tuwe serious baada ya kuwajibisha watu tujitafakariKama kipimo cha kuwa na akili ni kuungana na tundu lissu, basi acha kila mtu abaki na akili yake.