The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Si bora hao wanaoendeshwa na tumbo sasa, kuna ambao hawafaidiki na chochote wamechakaa sana na kura wanapigaNa ukiisikiliza dhamiri tu, hupigi kura.
Ili upige kura ni lazima fuse uwe na taahira ya akili, au mlafi unayeendeshwa na tumbo.
Najiuliza kati ya Roman na Rula kipi kimenyooka!?"Kabla ya kwenda huko tathmini kidogo dhamiri yako, lakini dhamiri inaweza kuwa potofu isipokuwa na uelewa wa kutosha. Tuachane na dhamiri potofu, dhamiri yako itakuwaje safi na kamili? Kwanza muwe na uelewa wa kutosha kwa hicho unachoenda kufanya, Usikilize dhamiri yako kuhusu Ukweli na ile iliyo sawa kwamba katika hili kweli ni lipi? na lililo la haki ni lipi? Soma neno la Mungu likuongoze, Pitia amri za Mungu, Sali juu ya hiyo, ihoji dhamiri yako na hapo ufanye uamuzi wako."
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ambaye pia ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi Mhashamu Wolfgang Pisa O.F.MCap ametoa ujumbe leo Septemba 25, 2025 alipopiga marufuku kwa watawa kujihusisha na kampeni za siasa.
Je, ujumbe huu kimkakati unatukumbusha kuhusu 'No reforms no election?
😂😂😂😂😂😂Na ukiisikiliza dhamiri tu, hupigi kura.
Ili upige kura ni lazima fuse uwe na taahira ya akili, au mlafi unayeendeshwa na tumbo.
No reforms, no electionNa ukiisikiliza dhamiri tu, hupigi kura.
Ili upige kura ni lazima fuse uwe na taahira ya akili, au mlafi unayeendeshwa na tumbo.
La kweli ni lipi?"Kabla ya kwenda huko tathmini kidogo dhamiri yako, lakini dhamiri inaweza kuwa potofu isipokuwa na uelewa wa kutosha. Tuachane na dhamiri potofu, dhamiri yako itakuwaje safi na kamili? Kwanza muwe na uelewa wa kutosha kwa hicho unachoenda kufanya, Usikilize dhamiri yako kuhusu Ukweli na ile iliyo sawa kwamba katika hili kweli ni lipi? na lililo la haki ni lipi? Soma neno la Mungu likuongoze, Pitia amri za Mungu, Sali juu ya hiyo, ihoji dhamiri yako na hapo ufanye uamuzi wako."
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ambaye pia ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi Mhashamu Wolfgang Pisa O.F.MCap ametoa ujumbe leo Septemba 25, 2025 alipopiga marufuku kwa watawa kujihusisha na kampeni za siasa.
Je, ujumbe huu kimkakati unatukumbusha kuhusu 'No reforms no election?
"Kabla ya kwenda huko tathmini kidogo dhamiri yako, lakini dhamiri inaweza kuwa potofu isipokuwa na uelewa wa kutosha. Tuachane na dhamiri potofu, dhamiri yako itakuwaje safi na kamili? Kwanza muwe na uelewa wa kutosha kwa hicho unachoenda kufanya, Usikilize dhamiri yako kuhusu Ukweli na ile iliyo sawa kwamba katika hili kweli ni lipi? na lililo la haki ni lipi? Soma neno la Mungu likuongoze, Pitia amri za Mungu, Sali juu ya hiyo, ihoji dhamiri yako na hapo ufanye uamuzi wako."
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ambaye pia ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi Mhashamu Wolfgang Pisa O.F.MCap ametoa ujumbe leo Septemba 25, 2025 alipopiga marufuku kwa watawa kujihusisha na kampeni za siasa.
Je, ujumbe huu kimkakati unatukumbusha kuhusu 'No reforms no election?
Maana yake bila mabadiliko hakuna uchaguziAnamaanisha kabla hujaenda kupiga kura ya hapana, fikiria kwanza jinsi kura yako itakavyo badilishwa na kuwa ndiyo, hivyo unakuwa umeshiriki katika dhambi moja kwa moja, maana kalatasi ulichukua ww na ukaweka ww japo mawozo siyo yako...
Daaaah maskini nchi yangu TanganyikaTarehe 29 oct, tutatumia haki yetu ya msingi kupga kura, na hakuna kenge atakayetuzuia kupga kura hata mara moja. Tutapga kura na hakuna kitu mtafanya.
Na nyie mnaotaka kutumia haki ya kuandamana, itumieni.
Swali: kwa nini tarehe 29 oct?
NADHANI KILA MMOJA ATAPATA MAJIBU YA HAKI YAKE ALIYOITUMIA TAREHE 29 OCT.