GE2025 Askofu Wolfgang Pisa anamaanisha nini anaposema kabla ya kwenda kupiga kura 'tathmini dhamiri yako'?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
"Bora ukose mali, kuliko akiiiili, kwani Elimu ni bahari haina mwisho"
 
Kuhalalisha dhambi hapana....
 
Kila mtu mwenye akili timamu na anayeipenda nchi yake ya Tz ni lazima ampinge sa100 eidha kwa uwazi au kwa kificho!.
Ukiondoa wateule na machawa yanayoishi kwa kulamba makalio ya viongozi!.
Shida sio kumpigia kura unampigia kura dhidi ya nani Suleiman Mwalim?
 
Ujumbe upo wazi na wala hauchanganyi chochote.
.
Binaadam anayo dhamira inayopaswa kumuongoza katika maamuzi yake
.
Dhamira inamwezesha mtu kujuwa na kuchagua jema au ovu

Kushiriki na kumchagua mtu mwovu kama Samia kuendelea kuitawala nchi hii kwa sababu yoyote ili, hiyo ni dhamira potofu.
 
Mkubwa mwenye busara anaweza kukuambia usifanye kitu bila kukuambia usifanye kitu.

Ila anakupa nyenzo za kufikiri mwenyewe halafu kama una akiki hutafanya kitu.

Ndicho alichofanya Askofu hapo.
 
Mimi naona wananchi wasijitokeze kupiga kura basi sio kuandamana
 
Kama kipimo cha kuwa na akili ni kuungana na tundu lissu, basi acha kila mtu abaki na akili yake.
Shida na kosa la Tundu Lissu ni lipi tunaacha kutimiza uwajibu wetu kuwajibisha wezi kwenye ripoti ya CAG tunakimbizana na Lissu watu wanafichua document za ufisadi Wewe unakemea kuvuja kwa document za ufisadi wananchi kujua tuwe serious baada ya kuwajibisha watu tujitafakari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…