GE2025 Askofu Wolfgang Pisa anamaanisha nini anaposema kabla ya kwenda kupiga kura 'tathmini dhamiri yako'?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
 
Kila mtu mwenye akili timamu na anayeipenda nchi yake ya Tz ni lazima ampinge sa100 eidha kwa uwazi au kwa kificho!.
Ukiondoa wateule na machawa yanayoishi kwa kulamba makalio ya viongozi!.
Tutaenda kupiga kura, tena kwa wingi tu mamamamae zenu. Maaskofu washushe vijembe, mafumbo, nahau, methali, vitendawili na ikiwezekana matusi kabisa kama yule kahaba wa Marekani au kale kashemale kanakosema kako Japan lakini kamwe hilo halitutoi kwenye reli sababu sababu yao ya kumchukia Samia ni dhaifu sana.......eti hawampendi sababu ya dini yake, YUCK!!!!!

Basi yupo, hamtaki basi nendeni zenu Kazakhstan huko...... nyambaaaf
 
Hilo jina wolfgang nawaza ni jina lenye asili ya wapi
Soma hapa,

Derived from the Old German elements wolf meaning "wolf" and gang meaning "path, way". Saint Wolfgang was a 10th-century bishop of Regensburg. Two other famous bearers of this name were Austrian composer Wolfgang Amadeus Mozart (1756-1791) and German novelist and poet Johann Wolfgang von Goethe (1749-1832)
 
Mimi ningeshauri tu, waende streght na kutuambia maamini kwamba tarehe 29.10.2025, msiende kupiga kura. Hili lianzie kweny jumuiya ndogo ndogo za kikristu.
UAndikwe waraka usambazwe kwenye jumuiya ndogo ndogo na usomwe na kiongozi wa jumuia kwa nchi nzima. Kisha kila jumapili padre ausome tena kwa waamini.
Lakini hii tabia ya kuongea kwa mafumbo haitafanya watu wasiende kupiga kura. Kuna watu haswa waamini wa kanisa la roma kauli ya padre kwao ni amri.
 
Ndo ameshasema sasa
 
Kupiga kura October 29 ni kubariki vitendo vya utekaji viendelee, ufisadi uendelee, kero za wananchi mfano mwendokasi ziendelee, kodi kandamizi ziendelee.

Kama ni muoga wa kuingia barabarani kama mimi basi angalau usiwe sehemu ya watesi.
je kama unaenda kupigia kura vyama vile, si inatosha kupiga kura?
 
mbona unaingiza udini mpuuzi we!
 
mtu ataachaje kupiga kura wakati kaajiriwa na chama na kinampatia maslahi?
 
Kupiga kura ni sawa na somo la option, si lazima kulisoma ila inatakiwa kila mwanafunzi awe na option shuleni asikose interest hobby, Kupiga kura ni hiyari, hakuna sheria inayolazimisha mwananchi kupiga kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…