Aslay amewafunika wote waliotangulia kwenye homa

Dogo ameongoza kwa performance ya muda mrefu bila kukata pumzi, ila hajamuacha mbali harmo.
 
Hichi kipindi kuna kituo mtaa wa pili wamekiiga watu kimya,sasa hapa ndio wangekiiga WASAFI pasinge tosha humu.

Ila Majizo ni very creative na industry ya Bongo anaijua.
Kipindi kizuri, sema nakiona kikipoteza mvuto baada ya miezi kadhaa, kwakuwa wasanii wale cream watakuwa wameisha wataanza kuleta takataka kina Giggy Money

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatoaje taarifa kama vile kila mtu alikuwepo au anajua unaongelea nini? Kaa chini ueleze ni kitu gani hicho, kama ni kipindi cha TV kinahusu nini na kimefanyika station gani.

Vinginevyo kwa uandishi wako usiojitosheleza si rahisi kueleweka. Na ingekuwa insha ningekupa maksi 20 kwa 100 kwa kuwa ujumbe haujakamilika.
 
Haya maoni ni mazuri ila yanakachembe chembe ka u-hater kwa Msela wa Kariakoo[emoji23][emoji23]

Ngoja niingie Utube nami nipate cha kusema. Nitarudi
 

Akienda Barnaba utafuta Kauli yako mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…