Aslay amewafunika wote waliotangulia kwenye homa

Haya maoni ni mazuri ila yanakachembe chembe ka u-hater kwa Msela wa Kariakoo

Ngoja niingie Utube nami nipate cha kusema. Nitarudi

Huwa sina ujinga wa team mkuu..
Kiba huwa ana attitude flani mbovu katika interviews na sijawahi kaa hata dakika 10 nikamsikiliza bila kuboreka. Kingine kwenye kuimba alishindwa kuimba fresh mwanzo mwisho hadi akaanza kustruggle

Kiba katika live peformance sio mzuri sana vocally na the only show nilioiona alifanya fresh ni koroga festival ya kenya miaka iliyopita...

Haya maoni ni mazuri ila yanakachembe chembe ka u-hater kwa Msela wa Kariakoo[emoji23][emoji23]

Ngoja niingie Utube nami nipate cha kusema. Nitarudi
 
Wewe unakuaga mkweli ingawa sijabahatika kuona hiyo show ila Aslay Ni msanii mzuri Sana kwenye live performance nilibahatika kuona show yake ile iliyorabitiwa na clouds chini ya ruge alinikosha sana.
 
Show ya King Kiba uliiangalia ukiwa Umelewa,. King alipiga bonge moja la Show
 
Wewe unakuaga mkweli ingawa sijabahatika kuona hiyo show ila Aslay Ni msanii mzuri Sana kwenye live performance nilibahatika kuona show yake ile iliyorabitiwa na clouds chini ya ruge alinikosha sana.

Ile show aliyopiga na Nandy ilikuwa nzuri pia, kiukweli aslay kwenye live peformance yupo fresh..

Pia shukrani kwa compliment mkuu..
 
Mie Aslay amenibore tu kwanin aachane Tess mpk sasa hivi watu tunajipigia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…