Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Haya maoni ni mazuri ila yanakachembe chembe ka u-hater kwa Msela wa Kariakoo![]()
![]()
Ngoja niingie Utube nami nipate cha kusema. Nitarudi
Huwa sina ujinga wa team mkuu..
Kiba huwa ana attitude flani mbovu katika interviews na sijawahi kaa hata dakika 10 nikamsikiliza bila kuboreka. Kingine kwenye kuimba alishindwa kuimba fresh mwanzo mwisho hadi akaanza kustruggle
Kiba katika live peformance sio mzuri sana vocally na the only show nilioiona alifanya fresh ni koroga festival ya kenya miaka iliyopita...
Haya maoni ni mazuri ila yanakachembe chembe ka u-hater kwa Msela wa Kariakoo[emoji23][emoji23]
Ngoja niingie Utube nami nipate cha kusema. Nitarudi