Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
?Wamezunguka naye kwenye jiwe la mwezi mara mbili kabla hata ya fiesta... alifanyiwa interview kwenye kipindi cha leo tena alipotoa ngoma angekuona...
Kati ya wote aslay ndiye anapewa support zaidi hata beka flavour hajapata support kama ya aslay
Ntaimaliza mkuu kesho au leo usiku?
mkuu mbona ile stori humalizii
Yupo sanene-tabataHivi Ali Kiba yuko wapi siku hizi?
Anafanya kazi ya uhouse boy kwa akina diamond tandareHivi Ali Kiba yuko wapi siku hizi?
wanga hamjifichiHabari za ijumaa wakuu
Moja kwa moja niende kwenye mada kama kichwa kinavyojieleza hapo juu
Kumekuwa na promo nyingi sana kumhusu aslay na nandy , kutoa nyimbo mbalimbali pamoja, kufanya shoo pamoja, kuingia mikataba mbalimbali pamoja ikiwemo mikataba ya kuitangaza tatu mzuka. Lakini pia kurudia baadhi ya nyimbo za askay pamoja.
Sasa jamani mimi naona hiki kitu ni kizuri ila hakitafika mbali na kitamuacha aslay pabaya. Watu wengi wanaompenda aslay na kumsapoti kwenye ngoma zake alizokuwa anazifululiza mwanzo nadhani kwa sasa wanasita kumsapoti kwa hii kiki mpya anayopewa na hawa CLOUDS ambao wote mnawatambua vizuri sina haja ya kuelezea hapa.
Jamani mimi nachoona ni kwamba siku si nyingi aslay atafyonzwa kama mua na hatakuwa na utamu tena na watantupilia mbali.
Ushauri wangu kwa kijana aslay ni aendelee na ule utaratibu wake wa mwanzo na aachane kabisa na hawa watu wa sasa
Ni hayo tu nawasilisha