Aslay hizi sasa sifa zimezidi kipimo

Pole sana ila umewsikilizishia mamaako na dadaako au unasikiliza mwenyewe tu...

Sent from my A500s using JamiiForums mobile app
Kwanin usitetee hoja mpaka unaenda kujificha kwenye kivuli cha mama, shangazi na Dada?
Hii inaonesha ni kuishiwa hoja.
Ukichangia hoja kwa kutumia gender inferiority hiyo ni kuishiwa uwezo wa kufikiri.
 
Nyie ndo mnaogopa mkikemea huu upuuzi wa wanaume kuwadhalilisha ndo mtaambiwa nyie ndo walengwa .. Sikia nikwambie mwanaume huyu sio mwenzio atakusifia ukiwa nae mkiachana anakung'ong'a . nawashangaa wanawake mliofurahia huu wimbo
My dear wimbo sijausikia lakini pia mimi usinifananishe na hao so called waoga blah blah, nina mke home na anajitambua hahahahaha.
 
Words... eti kudhalilishwa mbona aliyeimba dume suruali hawajaandamana kua amewadhalilisha maana ukisikia mashairi ya FA hahaha.

haya na huyo aliyesema NAMPA PAPA tena wanakata na viuno kabisa hawajasema kawadhalilisha, aliyeimba WOWOWO mbona flat screen hawaja andamana kawadhalilisha.
lol, ifike muda sasa hii jinsi ya kike isijinyongeshe kama walemavu wakati ni binaadam kamili.
 
Maneno mengine sio makali, unaposema nguo ya ndani inakuwa too general coz zipo nyingi so mtu anaposema chupi anakuwa specific and clear na wala sio neno kali. Samahani lkn
 
Maneno mengine sio makali, unaposema nguo ya ndani inakuwa too general coz zipo nyingi so mtu anaposema chupi anakuwa specific and clear na wala sio neno kali. Samahani lkn
Inategemea na malezi ya mtu na MTU.Tunatofautiana malezi na makuzi.Issue hapa wimbo unaenda hewani public,kuna watoto wadogo.Mfano utakuwa umeshasikia matumizi ya maneno haya..tendo la ndoa,kujamiiana nk au naenda uwani,naenda kujisaidia,alimshika sehemu za siri,nimeenda hospitali nikaambiwa nipeleke choo/stool kikapimwe,nk.Hiyo mifano michache ina maneno yake halisi lakini aghalabu hukwepwa kutajwa moja moja kwa mantiki hiyo ya kimaadili

Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
 
This is what we call a gentleman, hongera mkuu kwa kulitambua hilo naamini unajielewa ndo maana umeona makosa aliyoyafanya aslay kwa yeyote anayesupport huu wimbo hajielewi hasa mwanamke akisaport akapimwe akili
Huu wimbo kwanza hakuna kituo cha radio kinaweza ruhusu kupigwa kwa huu wimbo maana umejaa matusi na udhalilishaji.....hii ndio jf kila mtu ni msafi,hanuki.
Ukweli ni kwamba huu wimbo ni mbovu na hakuna anaye weza kuupa support hasa kwenye vituo vya radio....
 
Jambo la kushangaza sana mkuu!
Yaani wanaji undermine wao wenyewe kutokana na mambo wanayoyafanya halafu wanakuja na kasumba kuwa wanafanyiwa gender discrimination wakati wao hawataki kujirespects, nyimbo Kama Papa gigy money, sijui chura ni baadhi ya nyimbo zilizoimbwa na wanawake ukiangalia ndani yake zinawatoa utu kama wanawake..lakini ndio wanazipenda kupita maelezo,,
Kutaka 50/50 inatakiwa wawe na self Respect's kwanza.
 
Mkuu mm nimeshakuelewa huyo unaebishana nae ndo walewale wakina aslay so utaumiza kichwa

Sent from my A500s using JamiiForums mobile app
 
ALIVYOIMBA UNANISUMBUA NA KIBAMIA CHAKO MBONA HAMJALALAMIKA!! MKUKI KWA NGURUWE INAELEKEA SIFA ZOTE UNAZO NINI!!
 
Huu ni udhalilishaji mkubwa sana na hakuna kitu kama hicho ktk maadili yetu ya kitanzania yaan cjui hii Tz ya viwanda inaelekea wapi,

Sent from my A500s using JamiiForums mobile app
 
True bro, siku zote ukijiheshimu nawe utaheshimiwa sasa kwa mambo wanayoyafanya hao wanawake mashuhuri na wasio mashuhuri unaona kabisa ni mtihani.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…