NAREI
JF-Expert Member
- Mar 10, 2017
- 1,730
- 1,660
Kweli leo umeamua kufurahisha jukwaa!Nani kakwambia kunuka kunazidiana HV mnajijua mlivo kero mnavonuka hasa hasa vikwapa ?? Msijitie hamnazo
Kwa akili ya kawaida huwezi fananisha
Mnuko wa panpuchi na kikwapa!
Panpunchi achana nayo kabisa.