Aslay hizi sasa sifa zimezidi kipimo

Acha afunguke kijana

Kama uko namna hiyo Pole.
Ukweli una uma.
 

Oga, fua nguo zako za ndani... kwani ina kuchukua muda gani? Mpaka huyu dogo akuimbie ndio ushituke "eee hivi kumbe tu chupi huwa tuchafu?" Ame sahau kuongeza shairi hapo " na pasi uzipige nguo zako za ndani".
 
Hahahaa....
Hii dunia hii...
Mkuu usihofu, huyo jamaa bado ni mtoto ndio maana. Kama angekuwa mtu mzima na kweli wameachana na mwenzake basi wangeyamaliza wao wenyewe... Hahahaaaa
Huu ni utoto wa kiwango cha lami HV ingekuwa watu wanaachana wanasemana mambo ya ndani kusingekalika
 
Acha afunguke kijana

Kama uko namna hiyo Pole.
Ukweli una uma.
Nyie mnamshauri ujinga huyo dogo mbona nyie mnanuka makwapa kama chemba za choo, miboxer hamfui, mipmb inatoa harufu kama vyoo vya solo lkn watu wanawavumilia
 
Oga, fua nguo zako za ndani... kwani ina kuchukua muda gani? Mpaka huyu dogo akuimbie ndio ushituke "eee hivi kumbe tu chupi huwa tuchafu?" Ame sahau kuongeza shairi hapo " na pasi uzipige nguo zako za ndani".
Na nyie jisigueni hayo makwapa yenu yana tema na mapmb muyaoshe yanatema na boxer ukivaa Mara moja ufue
 
Wewe ni 90% ya wanawake?

ubadilike, huo ndio ukweli wanawake mko hivyo
HV mnajijua kwamba mna makwapa yenu yanatema harufu kama mzoga wa panya ?? Basi na nyie badilikeni ni wachafu kupita kiasi boxer inavaliwa Siku 2+
 
Nao wanaume nao sometimes hua wanauz jmn kila mtu ana kasoro zake no one is perfect, always mnapokua na demu huwaga hamuzioni kasoro zake ngoja sasa muachane uuuuuuw ni shida!

Na sisi wanawake ifikie kipind tubadilike ili wanaume wakose cha kukosoa, mm sitaki kuamini kua uchafu ni kasoro hapana hii ni tabia ambayo inabadilishika jmn, mm naamini tukiamua tunaweza
 
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23]huwa mnatusema hatufui boxer kuimbwa kidogo tu mnaanzisha Uzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jitahidi kuwa msafi basi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ni kweli maboxer yananuka maana yanavaliwa Mara 1+ kwann lisinuke na jasho lote la dar?? Makwapa ndo kabisa unakuta mengine hata deodorant hayajui ..mnafurahia aslay kumuaibisha mwanamke wakati nyie mmeoz kabisa.. Vyumba vina siri nzito
 
Sasa si bora aslay anajiimbia zake, je wale wanawaweka wanawake nusu uchi kwny video zao hawawadharirishi wanawake? Je wale wanaopost picha za utupu hawawadharirishi wanawake? Mwacheni dogo aimbe bana, kama una tabia hzo jirekebishe ndo dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…