Aslay hizi sasa sifa zimezidi kipimo

Ndo maana nimesema huyu dogo hizi sifa zitamponza maana Hawa wanaompa kichwa hawasikiliz hata nyimbo zake
 
Kuna wenzako wanapenda harufu za kibeberu! Akikutana na anayenukia perfume muda wote anajua ni mtoto wa mama na kwamba shughuli haiwezi! Wewe uliwahi kukutana na mwenye kunukia kibeberu?
Duuh yaani nipende harufu ya beberu?? Aisee hapana
 
Hako kavulana Ni ka huko kwenu dar eeeh maana navijuaga vivulana vya huko,hata vikila pilau havinawi mikono ili vikatangazie kwa watu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna vivulana vyenzie humu vinamsaport , bongo bahat mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…