Julymeme
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 439
- 800
HahahaA nao wanahitaji darasa huru kwa kweliHawapendi kukosolewa wakati wameoza kabisa huo mnuko wao c wa nchi hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaA nao wanahitaji darasa huru kwa kweliHawapendi kukosolewa wakati wameoza kabisa huo mnuko wao c wa nchi hii
Ndo maana nimesema huyu dogo hizi sifa zitamponza maana Hawa wanaompa kichwa hawasikiliz hata nyimbo zakeMpaka hapo alipofikia Asley bado hajamsogelea Chid Benz wa wakati huo, Chid B aliwahi kumkunja tai Pro Jay kisa kiburi cha umaarufu leo hii anaishi kwa msaada wa sembe, Joseph Haule anatafunia kivulini. Tumpe muda atajua kuheshimu na kuishi na binadamu wenzake.
Mkuu aponde lkn huko sio kuponda ni kudhalilisha mambo ya vyumbani hayo mkuu
Hahaaa we chenga kwelikama ana kiuno kizito kama injini ya fuso inamuhusu
Kavulana Fulani hivi kamaeanza kulewa umaarufuAslay ndio Nani kwani
Duuh yaani nipende harufu ya beberu?? Aisee hapanaKuna wenzako wanapenda harufu za kibeberu! Akikutana na anayenukia perfume muda wote anajua ni mtoto wa mama na kwamba shughuli haiwezi! Wewe uliwahi kukutana na mwenye kunukia kibeberu?
Nawe osha mapumbu hayoFua chupi mama
Hako kavulana Ni ka huko kwenu dar eeeh maana navijuaga vivulana vya huko,hata vikila pilau havinawi mikono ili vikatangazie kwa watuKavulana Fulani hivi kamaeanza kulewa umaarufu
Kama ufui chupi na kwapa linatemaaa tusisemeHawapendi kukosolewa wakati wameoza kabisa huo mnuko wao c wa nchi hii
Yaani wao walivo hawapendi ukweli wao ndo tutatafutana humu maana kila mmoja anajiona bora kumbe hakuna kituHahahaA nao wanahitaji darasa huru kwa kweli
Na nyie kama hamfui boxer na mipmb inatema kama choo cha soko tusiseme??Kama ufui chupi na kwapa linatemaaa tusiseme
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna vivulana vyenzie humu vinamsaport , bongo bahat mbayaHako kavulana Ni ka huko kwenu dar eeeh maana navijuaga vivulana vya huko,hata vikila pilau havinawi mikono ili vikatangazie kwa watu
Kamdhalilisha mwanamkeKama hauna hizo sifa kwa nini uchukie?
Mmmh huyo atakuwa alikutana na shetani yaani sofa mbaya zote hizo awe nazo MTU mmojaAcha aseme labds alikutana na balaaa