Aslay hizi sasa sifa zimezidi kipimo

Aslay hizi sasa sifa zimezidi kipimo

Nataka kiuno mithili feni c kama umepigwa short [emoji379][emoji379][emoji379][emoji127]
Twende zetu wangu
 
Habari za mchana wana Jf , mimi binafsi ni shabiki mkubwa wa nyimbo za dogo aslay ukweli ni kwamba dogo anajitahidi ila kilonifanya niandike hii thread kuna wimbo wa aslay umetoka sijui kautoa mwenyewe au umevuja au vipi maana wimbo wenyewe una verse moja tu lakini mashairi ya wimbo huo hayajawafurahisha wanawake wengi ikiwemo Mimi.

Ni wimbo ambao unamdhalilisha mwanamke huyu dogo anapaswa atambue kwamba mashabiki wa mziki wake wengi ni wanawake hata kama umeachana na mwanamke huwezi kumtolea matusi kama ya kwenye wimbo wa aslay so aslay kama umo humu Jf acha kudhalilisha wanawake ambao ndo mashabiki zako wakubwa including Ray 4 real.
Baadhi ya mashairi katika huo wimbo;[emoji116]

Kiuno kizito kama engine ya fuso ,
Hauna lolote kitandani yaani upopo,
Unashindwa hata kufua vichupi vyako,
Unanuka jasho makwapani kama choo cha soko..

Hayo ni baadhi ya mashairi kwa kweli hayajatufurahisha wanawake na ni udhalilishaji
So aslay if u are also in Jf na ukasoma hii thread ujue umetudsappoint 90% ya wanawake Tz. Yangu ni hayo sema nimeshindwa kuapload hiyo audio.
Uko wapi?
 
Ushachelewa maana January nawekwa ndani karibu kwenye harusi yangu ila vikwapa kunuka hawatakiwi

Huwez olewa ww..kwa akil zako kisoda hiz uyo jamaa nae ni ka ndez kupoteza muda na ww..njoo ulambe koni huku
 
Habari za mchana wana Jf , mimi binafsi ni shabiki mkubwa wa nyimbo za dogo aslay ukweli ni kwamba dogo anajitahidi ila kilonifanya niandike hii thread kuna wimbo wa aslay umetoka sijui kautoa mwenyewe au umevuja au vipi maana wimbo wenyewe una verse moja tu lakini mashairi ya wimbo huo hayajawafurahisha wanawake wengi ikiwemo Mimi.

Ni wimbo ambao unamdhalilisha mwanamke huyu dogo anapaswa atambue kwamba mashabiki wa mziki wake wengi ni wanawake hata kama umeachana na mwanamke huwezi kumtolea matusi kama ya kwenye wimbo wa aslay so aslay kama umo humu Jf acha kudhalilisha wanawake ambao ndo mashabiki zako wakubwa including Ray 4 real.
Baadhi ya mashairi katika huo wimbo;[emoji116]

Kiuno kizito kama engine ya fuso ,
Hauna lolote kitandani yaani upopo,
Unashindwa hata kufua vichupi vyako,
Unanuka jasho makwapani kama choo cha soko..

Hayo ni baadhi ya mashairi kwa kweli hayajatufurahisha wanawake na ni udhalilishaji
So aslay if u are also in Jf na ukasoma hii thread ujue umetudsappoint 90% ya wanawake Tz. Yangu ni hayo sema nimeshindwa kuapload hiyo audio.
Aslay niko hapa nimekuelewa jamani nitatunga wimbo wa kusifu wanawake
 
Ukicheki comments za aliyeleta Uzi anataka kujaribu kubalance motion iliyopo
Amekazania pumbu sijui boxer zinanuka hatukatai but you can't compare unukaji wa mwanamke na mwanaume ni quietly different.
Mwanamke asipofua pichu yake ndani ya siku moja walahi ni bora upite jalala la pugu utavumilia
Unukaji wa mbupu na boxer kwa wanaume ni kwa kiasi kidogo mno tena hapo arudie boxer hata siku 3 unaweza usisikie harufu kama tu anaoga..but wanawake kwa kweli mkubali tu hali halisi nature ya organ's zenu nazo ni sababu mojawapo namna maumbile yenu yalivyo yapo kwa ndani yanakosa hewa ya kutosha.
Ray 4 real ukweli ni kwamba huwezi compare smell anazotoa me na ke hapa najua unafurahisha jukwaa tu.
 
Mwanamke usafi sio chupi unaivaa wiki mwache awachane digo [emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]dogo Asley
 
Ukicheki comments za aliyeleta Uzi anataka kujaribu kubalance motion iliyopo
Amekazania pumbu sijui boxer zinanuka hatukatai but you can't compare unukaji wa mwanamke na mwanaume ni quietly different.
Mwanamke asipofua pichu yake ndani ya siku moja walahi ni bora upite jalala la pugu utavumilia
Unukaji wa mbupu na boxer kwa wanaume ni kwa kiasi kidogo mno tena hapo arudie boxer hata siku 3 unaweza usisikie harufu kama tu anaoga..but wanawake kwa kweli mkubali tu hali halisi nature ya organ's zenu nazo ni sababu mojawapo namna maumbile yenu yalivyo yapo kwa ndani yanakosa hewa ya kutosha.
Ray 4 real ukweli ni kwamba huwezi compare smell anazotoa me na ke hapa najua unafurahisha jukwaa tu.
Inabidi tufanye practical ili aelewe, ajaribu kupitisha siku 3 hajaoga wala akienda haja ndogo asijisafishe atapata mrejesho
 
Mleta mada ana hoja.Kuwepo na adabu kwenye matumizi maneno.Kuna matumizi ya maneno kupunguza makali mfano nguo za ndani.BASATA ndiyo wa kulaumu.Wasanii wasituharibie maadili waje kwa fasihi pia.Kuna mmoja kaimba kwa ustadi mkubwa kupeleka ujumbe sehemu kama sikosei."Kama sura hata mbuzi anayo lakini wo wo woo..'!
 
Back
Top Bottom