Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishu iko hivi Mkuu, Hawa walikubaliana na wenye wimbo hawakuwa na cha kupoteza (kwa uwezo wao wa kufikiri) wakadaka 800,000/- sasa baada ya ngoma kuwa hit song wajanja wa mjini wakawarudia tena wenye wimbo kuwa imekuwaje walikubali laki nane wakati wenzao wanapiga mamilioni...hadi mawakili wamewatafutia kudadadeki?? Mjini shuleSasa mbona Walizipokeaa????? Matahiraa sana haoo.. Baada ya kuona wimbo umekuwa Hit song wanaanza ubashitee waoo
Mie huwa najiwazia kwani ni lazima kurudia wimbo wa mtu ambao ulishaimbwa sababu mwisho wa siku ndio hizi seke seke zinatokea.
Yetu macho na masikio wacha tuone mwisho ni nini.
Si ndo hapooo... Ilaa watafelii tuu!! Maana walishakubaliana hiyo laki 8 .Ishu iko hivi Mkuu, Hawa walikubaliana na wenye wimbo hawakuwa na cha kupoteza (kwa uwezo wao wa kufikiri) wakadaka 800,000/- sasa baada ya ngoma kuwa hit song wajanja wa mjini wakawarudia tena wenye wimbo kuwa imekuwaje walikubali laki nane wakati wenzao wanapiga mamilioni...hadi mawakili wamewatafutia kudadadeki?? Mjini shule
Kuna watuu matahiraa sanaa...Muziki wa mwaka 1973 unataka fidia wakati ulikuwa umesha expiry
Muziki wa mwaka 1973 unataka fidia wakati ulikuwa umesha expiry
Inategemea uimara wa wanasheria wao....Si ndo hapooo... Ilaa watafelii tuu!! Maana walishakubaliana hiyo laki 8 .
Waliwalipaa kabisaa hao wenye huo.wimboo ilaa wale jamaa wamewageuka saa hizi tamaa tuCha mtu ni cha mtu tu omba upewe acha ujanja ujanja. Hakuna muzik unaoexpire
Copyright act unaijua?Muziki wa mwaka 1973 unataka fidia wakati ulikuwa umesha expiry
Na hiyo ndio shida ya kulazimisha pasipolazimishika.Wasanii wa siku hizi makajanja sana hawana vipaji basi tu kulazimisha fani kwa migongo ya wasanii wa zamani. Nyimbo zao wakitynga zinadumu wiki moja au mbili ishaisha utamu
Siyo HAKI MILIKI?Hivi AY na Mwenzake walilipwa zile pesa na tigo? Nimeona mambo ya hati miliki na kesi kuunguruma nikajikuta naikumbuka hiyo hukumu.
Pokea Uponyaji - Ugonjwa Tokaaaa!!!Naumwa niombeeni
Wachawi wanaanzaga hivi hiviWashtakiwe tu hakuna namna.Hawa madogo kila siku wanadai haki miliki lakini wao hawazifuati.Wanaanzaje kuimba wimbo wa watu bila idhini ya wenyewe? Washitakiwe tu iwe mfano.
Mia Tisa itapendezakwani wanataka sh. ngapi?
tuanzie hapo kwanza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na kweli si waongee wayamalizeWANATAFUTA PA KUPATA GRISI