Aslay na Nandy kupelekwa Mahakamani

Haya Mke Wa Ruge kamwingiza mkenge mwenzie, maaan Aslay anajua kuimba na kutunga , na Nandi kazid hata za Ray C anaziiimbaga jukwaani
Ruge nae hata hachelewi
haka ameshakabandua
 
Mie huwa najiwazia kwani ni lazima kurudia wimbo wa mtu ambao ulishaimbwa sababu mwisho wa siku ndio hizi seke seke zinatokea.

Yetu macho na masikio wacha tuone mwisho ni nini.
Ubongo mdogo wafabyaje???

Wanakera sana! Etiiii...
 
Opportunity Cost.

Go and read what it means.
Kwahiyo umeona we peke ako ndo unajuwa maana ya opportunity cost si wengine hadi tukaaze kusoma.
Ni cost gani gani wange incur km wasingeruhusu wimbo wao kurudiwa?
 
Kwahiyo umeona we peke ako ndo unajuwa maana ya opportunity cost si wengine hadi tukaaze kusoma.
Ni cost gani gani wange incur km wasingeruhusu wimbo wao kurudiwa?

Mkuu elimu haina mwisho, na ukiambiwa ukasome haina maana hujui ni kwenye kujikumbusha tu.

Mpaka hapo inaonekana hujui maana ya opportunity cost, kama hapo kwenye red ndo mtazamo wako.
 
wimbo wa taifa kosota wana ujua? wameupa reg. namba ngapi?
 
Ubongo mdogo wafabyaje???

Wanakera sana! Etiiii...
Hahaaa. Cha kufanya wajikune mikono inapoishia. Sababu kulazimisha shida ndio hiyo sasa.

Ila hata mie wananikera sana.
 
Mie huwa najiwazia kwani ni lazima kurudia wimbo wa mtu ambao ulishaimbwa sababu mwisho wa siku ndio hizi seke seke zinatokea.

Yetu macho na masikio wacha tuone mwisho ni nini.
Wametoa nyimbo nyingi mpaka idea zimewashia
 
Kumbe unadhani, okay. Ila kaa ujue hata kama msanii kashapitwa na wakati, haki yake lazima iheshimiwe. Haki miliki itakuumiza.
Nadhanii waliwapaa mpaka pesa..Na jamaa wakakubalii maana kiukweli nyimbo zao zishapitwa na wakati na hata shoo kupitia hizo nyimbo hawampati mtu.. Semaa tamaa imewajaa baada ya kuona imekuwa Hit kalii sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…