Aslay na Nandy wasaini dili la Mamilioni Tatu Mzuka.

Aslay na Nandy wasaini dili la Mamilioni Tatu Mzuka.

mapessa

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
664
Reaction score
1,168
Katika kuonyesha gemu ya Bongo Fleva inashika mizizi wasanii Aslay na Nandy siku ya leo wamevuta mkataba mnono wa takribani milioni 700 na kampuni ya kuchezesha bahati nasibu ya Tatu Mzuka. Mkataba huo ni kwa ajili ya kuwa mabalozi wa kampuni hiyo ya michezo ya kubahatisha.


Daaaaaah kubashiri kuna Pesa sana.!
 
Milion 700 pesa nyingi wawekeze kwenye miradi wasije wakazitafuna kwa starehe.
 
mara million tatu mara Million 700
 
Hiyo 700m ya zimbabwe,mana hao tatu mzuka hawana hata mtaji wa 100m wanategemea hizo jerojero zenu wapate hela
 
Wanakubali kutangazwa wamevuta pesa ndefu kumbe jau tu alafu kesho utasikia tumchangie anaumwa inatakiwa 10 M ivi unajiuliza ile 700 iko wapi nyambafuuuu zao.
Cc: Wastara
Cc: Mzee Majuto
 
500 × 1000000=5,000,000,000 kwa siku fanya mara 7 unapata billions 3 na nusu fanya mara 4
acha mchezo wewe
watu wanabet kimya kimya
 
Kwa Jicho La Kibiashara:

700 M hata mtu kama Diamond ni nyingi sana na hivyo hawezi kukataa mchongo kama huo! Hapo cjamtaja Kiba.

SWALI: Sasa nini kitawafanya Tatu Mzuka wawekeze mkwanja wote huo kwa watu ambao hata total social media following kwa pamoja haifiki hata nusu ya mtu kama Diamond ambae; pamoja na mambo mengine, pia ana loyal fans base na digital influence ya kutosha kuzidi hao wawili combined!

Anyway, unless huo mkataba uwe mrefu kweli kweli ingawaje uzoefu unaonesha michezo ya kubahatisha ni ya msimu! Itafika wakati wapenda vya bwelele wote watajikuta wameshapigwa sana na hapo unakuwa ndio mwisho wa 3 Mzuka na wenzake
 
Wanakubali kutangazwa wamevuta pesa ndefu kumbe jau tu alafu kesho utasikia tumchangie anaumwa inatakiwa 10 M ivi unajiuliza ile 700 iko wapi nyambafuuuu zao.
Mkuu wasanii wetu hawa ni Show off sana, Wema kipindi fulani alionesha nyumba Yake akajinadi Ya million 450 ila utashangaa maradhi yakimkumba
 
Ina maana tatu mzuka wamewachoka shilawadu!
 
Mi nimesikia clouds fm wanasema watachezesha siku 1 tu ya wapendanao ambapo million 300 ndo zitagawiwa kwa watakaoshinda cku hyo
Million 700 hyo mi sijasikia
 
Back
Top Bottom