Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,828
Aslay atafuta machozi sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we milion miasaba unazijua au unaziona kwenye gezeti....Diamond na Alikiba Pamoja nakuwa na Majina makubwa...lakin iyo hela awajawaiga kupata deal yakuisain.Katika kuonyesha gemu ya Bongo Fleva inashika mizizi wasanii Aslay na Nandy siku ya leo wamevuta mkataba mnono wa takribani milioni 700 na kampuni ya kuchezesha bahati nasibu ya Tatu Mzuka. Mkataba huo ni kwa ajili ya kuwa mabalozi wa kampuni hiyo ya michezo ya kubahatisha.
Daaaaaah kubashiri kuna Pesa sana.!
700÷2=350Kwa Jicho La Kibiashara:
700 M hata mtu kama Diamond ni nyingi sana na hivyo hawezi kukataa mchongo kama huo! Hapo cjamtaja Kiba.
SWALI: Sasa nini kitawafanya Tatu Mzuka wawekeze mkwanja wote huo kwa watu ambao hata total social media following kwa pamoja haifiki hata nusu ya mtu kama Diamond ambae; pamoja na mambo mengine, pia ana loyal fans base na digital influence ya kutosha kuzidi hao wawili combined!
Anyway, unless huo mkataba uwe mrefu kweli kweli ingawaje uzoefu unaonesha michezo ya kubahatisha ni ya msimu! Itafika wakati wapenda vya bwelele wote watajikuta wameshapigwa sana na hapo unakuwa ndio mwisho wa 3 Mzuka na wenzake
Mkuu hukusoma vizri ibara, mamilioni ww ukadhanj milioni, ukaunganisha na tatu ukapata milioni tatu.mara million tatu mara Million 700
wewe unataka madogo wavamiwe eti dola milioni700 ha!Ni Dola milioni 700 mkuu, mleta mada hakuweka sentensi zake vizuri tu.