Aslay na Nandy wasaini dili la Mamilioni Tatu Mzuka.

Aslay na Nandy wasaini dili la Mamilioni Tatu Mzuka.

Katika kuonyesha gemu ya Bongo Fleva inashika mizizi wasanii Aslay na Nandy siku ya leo wamevuta mkataba mnono wa takribani milioni 700 na kampuni ya kuchezesha bahati nasibu ya Tatu Mzuka. Mkataba huo ni kwa ajili ya kuwa mabalozi wa kampuni hiyo ya michezo ya kubahatisha.


Daaaaaah kubashiri kuna Pesa sana.!
we milion miasaba unazijua au unaziona kwenye gezeti....Diamond na Alikiba Pamoja nakuwa na Majina makubwa...lakin iyo hela awajawaiga kupata deal yakuisain.
 
Kwa Jicho La Kibiashara:

700 M hata mtu kama Diamond ni nyingi sana na hivyo hawezi kukataa mchongo kama huo! Hapo cjamtaja Kiba.

SWALI: Sasa nini kitawafanya Tatu Mzuka wawekeze mkwanja wote huo kwa watu ambao hata total social media following kwa pamoja haifiki hata nusu ya mtu kama Diamond ambae; pamoja na mambo mengine, pia ana loyal fans base na digital influence ya kutosha kuzidi hao wawili combined!

Anyway, unless huo mkataba uwe mrefu kweli kweli ingawaje uzoefu unaonesha michezo ya kubahatisha ni ya msimu! Itafika wakati wapenda vya bwelele wote watajikuta wameshapigwa sana na hapo unakuwa ndio mwisho wa 3 Mzuka na wenzake
700÷2=350
Kama mdau alivyosema hapo juu onawezekena sio mpunga wote
Huwezi jua mikataba ya Diamond inasemaje?
 
Back
Top Bottom