Barcelona763
Member
- Mar 9, 2018
- 26
- 21
Hawo wasanii aslay na harmonize ndio watakae chukua nafasi ya alikiba na Diamond . Alikiba aliwahi kusema hili kuhusu aslay ‘Tamba Mdogo Wangu Unajua’ huku akiambatanisha na kava ya wimbo huo wa Aslay ‘Natamba”. Kila Mara nikisikiza harmonize ni kama anaimba mtindo was diamond.