ASP, TANU,CCM Ni Vyama vya watu wa Pwani. Bara mlikaribishwa. Jifunzeni historia na Kuheshimu waanzilishi

Una hoja.
Na una Matusi.
 
Na ukisema wenyewe ni wa mikoa ya Pwani moja kwa moja hapo ni Muslim society.
inamaana chama kimerudi kwa wajukuu wa kina Ally sykes,mzee Said Chaurembo,Mwinyijuma Mwinyikambi,Dosa Aziz na wezee wengine wa pwani.
Hapana,
Ukristo pia uliingilia Pwani ndo ukaja bara. Ndo maana pwani tunaishi vizuri na watu wa dini zote na wasio na dini. Uislam, Ukristo, Siasa, Uchumi, etc vyote vimetokea Pwani.
 
Mohamed Said anaijua kwa kiasi kikubwa historia ya Tanzania hasa ya vyama vya TAA na TANU ila historia yake huwa ina matobo mengi sana.
 
"Wazee wetu wa DSM walitukanwa na kijana wenu RC. Na kundi lake, walidhalilisha familia zetu, familia zilizowapokea, kuwalea na kuwatunza".

Mhh njaa za CCM mbaya, kwani si ni Kikwete aliye mtuma Makonda kwenda Kumpiga Mzee walioba na baadae aka mpandisha cheo kuwa mkuu wa wilaya, au mimi sikumbuki vizuri? CCM bhana sisi tuna wajua kwa unafiki, maendeleo yamewatoa jasho mme ng'ang'ana na chama kila siku, hii karne nani ana hitaji lichama? , tuna hitaji uwezo wa mtu binafsi katika vyama utumike kutuletea maendeleo, miaka 60 tuko na nyie CCM kila siku kelele, hata kutoa ajira kwa vijana hamuwezi, kusimamia elimu bora hamuwezi, viwanda hamuwezi, mna nuka rushwa na kujifariji kuwa mna rudisha chama kwa wenyewe, hata just ku update GDP ya taifa hamuwezi mnasubiri IMF iwafanyie kazi, mnachoweza ni kukusanyika Dodoma kufarijiana umasikini, kweli wahenga walisema ''WINGI WA NZI NI KUTOBOA KIDONDA''.
 
Sawa basi tusiwane kanda ya ziwa mkileta matako yenu...waombeni kura watu wa pwani hope zitatosha...bure wa head wewe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna ukweli fulani.
 
Ahsante kwa taarifa, sisi sote ni wa moja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…