Alikua Ban, sijui huko jela kuna kamchezo gani kamemvutia...Hivi kura ulipiga lakini?
Hehehehe...afu bahati nzuri ni kuwa mie mwenyewe nahisi sistahili kiviiile laki sasa ntafanyaje wakati kuna kafifty kananingoja?
Ni bora kurekebisha mfumo badala ya kufanya hicho unachouliza kwani ukishiriki katika mfumo mbovu hutakiwi ku-complain matokeo yatavokuwa mabaya.Ishu ni kwamba kura ulipiga?
Au ulijipigia kura ukaambulia 0? Ndo tuanzie hapo kujadili povu lako
Alikua Ban, sijui huko jela kuna kamchezo gani kamemvutia...
coz naona ni kama anaomba apewe tena.
Ngoja nisepe. Baadae babu. Deskmate, twende class.
Kwa hiyo mkikosolewa mnakimbilia kumtafutia mtu hiyo ban...kazi kweli kweli!Alikua Ban, sijui huko jela kuna kamchezo gani kamemvutia...
coz naona ni kama anaomba apewe tena.
Ngoja nisepe. Baadae babu. Deskmate, twende class.
Keren_Hapuch na Sweetlady usiwaguse. Nshamkabizi Felo tableti Kloro
Amyner na Neiwa nshamkabizi babu mdogo Teamo
Cantalisia analea mimba ya Rejao
Kabakabana bado yuko chini ya uangalizi wangu
Hebu nikumbushe waliobakia...:eyebrows:
Gadem! Ngoja nimrushie Superman waya fasta!Hapa kuna kitu gani hapa!!
Nasikia harufu ya hii kitu.........kesho ni ijumaa..!!!
Mpwa acha ubahili....tukutane dagaa dagaa, tuiangamize hiyo fifte...alafu urudi ukadhihirishe u-man wako kwa Eliza wa Tegeta!!!
next tym msilete hili shindano hapa bali peaneni ushindi huko huko!Tuta argue wakati tunaitumbua hiyo 50 na tutajadili mwakani shindano liboreshweje ili kuwe na ufanisi zaidi
Ni bora kurekebisha mfumo badala ya kufanya hicho unachouliza kwani ukishiriki katika mfumo mbovu hutakiwi ku-complain matokeo yatavokuwa mabaya.
Twenzetu bana, halaf leo topic ya reproduction. Inanogaje?Alikua Ban, sijui huko jela kuna kamchezo gani kamemvutia...
coz naona ni kama anaomba apewe tena.
Ngoja nisepe. Baadae babu. Deskmate, twende class.
Yale yaleee!Join Date : 21st December 2011
Posts : 540
Rep Power : 420
Basi akupe wewe hiyo 50
Mpwa mpe huyo mgao naona analia
Sio kweli mbona ana nyuki moja ya SHE we zama PM dunia yako chaguo ni lako chagua kuwa na Kongosho ujisikie raha
Mshindi aliandaliwa kwa matakwa ya watu fulani.Tufunge mjadala mwakani kumbuka kuleta maboresho angalau na wewe ushiriki.
Nikiwa mpambe wa ODM, mpambe wa Babu, mpambe wa mkaguzi mkuu nakukaribisha kutumbua 50 ya man of the year in MMU karibu sana usijisikie vibaya si wapwaz hatunaga gubu wala kinyongo njoo tule ule hata kongoro tu kama sio ulimi.
Mwaveja sana
Ngoja nimalizie kumkagua. Kuna mahali bado sijapakagua vizuri.Dah kiongozi naona umeamua kunichinjia baharini mchana kweupeeee!!
Yaani umewakumbatia wajukuu watamu woooote hadi sioni mwingine wa ku propose.
anyway, Potelea mbali nikabidhi Kabakabana, nitakusaidia kumuangalia!!
una uhakika unachokinena?Kuna mtu katoka Ban leo naona kaingia kwa hasira kweli kweli.
Hivi ukiwa jela huruhusiwi kupiga kura?
Next time tuwaombe mod waweke huo utaratibu hahahahaha
hahahahah!....
baba enock bana
Mshindi aliandaliwa kwa matakwa ya watu fulani.
Umeshaamka? Kuna mtu anaitwa Mwita Maranya anataka akukague badala yangu eti.... Unasemaje?:A S-coffee:kaniacha speechless
ODM fanya ukaguzi wa haraka hapa