Aspirin: "JF Man Of The Year 2011"

Aspirin: "JF Man Of The Year 2011"

Hehehehe...afu bahati nzuri ni kuwa mie mwenyewe nahisi sistahili kiviiile laki sasa ntafanyaje wakati kuna kafifty kananingoja?

Duhh kwa hiyo mpwa ulichakachua matokeo? Hebu mwambie Superman anitumie kwa M pesa nibebe mzigo
 
Ishu ni kwamba kura ulipiga?
Au ulijipigia kura ukaambulia 0? Ndo tuanzie hapo kujadili povu lako
Ni bora kurekebisha mfumo badala ya kufanya hicho unachouliza kwani ukishiriki katika mfumo mbovu hutakiwi ku-complain matokeo yatavokuwa mabaya.
 
Alikua Ban, sijui huko jela kuna kamchezo gani kamemvutia...
coz naona ni kama anaomba apewe tena.
Ngoja nisepe. Baadae babu. Deskmate, twende class.

Haya mama baadae nitakucheck uje tutumbue hiyo 50 ya babu mi mpambe nipo pembeni leo ni haki ya wanawake weusi kupewa kipaumbele weupe kazi yao kufuta meza na kuleta kinywaji na kuondoa chupa
 
Hapa kuna kitu gani hapa!!
Nasikia harufu ya hii kitu.........kesho ni ijumaa..!!!

Mpwa acha ubahili....tukutane dagaa dagaa, tuiangamize hiyo fifte...alafu urudi ukadhihirishe u-man wako kwa Eliza wa Tegeta!!!

pork-6508.jpg
 
Alikua Ban, sijui huko jela kuna kamchezo gani kamemvutia...
coz naona ni kama anaomba apewe tena.
Ngoja nisepe. Baadae babu. Deskmate, twende class.
Kwa hiyo mkikosolewa mnakimbilia kumtafutia mtu hiyo ban...kazi kweli kweli!
 
Keren_Hapuch na Sweetlady usiwaguse. Nshamkabizi Felo tableti Kloro
Amyner na Neiwa nshamkabizi babu mdogo Teamo
Cantalisia analea mimba ya Rejao
Kabakabana bado yuko chini ya uangalizi wangu

Hebu nikumbushe waliobakia...:eyebrows:

Dah kiongozi naona umeamua kunichinjia baharini mchana kweupeeee!!

Yaani umewakumbatia wajukuu watamu woooote hadi sioni mwingine wa ku propose.

anyway, Potelea mbali nikabidhi Kabakabana, nitakusaidia kumuangalia!!
 
Hapa kuna kitu gani hapa!!
Nasikia harufu ya hii kitu.........kesho ni ijumaa..!!!

Mpwa acha ubahili....tukutane dagaa dagaa, tuiangamize hiyo fifte...alafu urudi ukadhihirishe u-man wako kwa Eliza wa Tegeta!!!

pork-6508.jpg
Gadem! Ngoja nimrushie Superman waya fasta!
 
Ni bora kurekebisha mfumo badala ya kufanya hicho unachouliza kwani ukishiriki katika mfumo mbovu hutakiwi ku-complain matokeo yatavokuwa mabaya.

Tufunge mjadala mwakani kumbuka kuleta maboresho angalau na wewe ushiriki.
Nikiwa mpambe wa ODM, mpambe wa Babu, mpambe wa mkaguzi mkuu nakukaribisha kutumbua 50 ya man of the year in MMU karibu sana usijisikie vibaya si wapwaz hatunaga gubu wala kinyongo njoo tule ule hata kongoro tu kama sio ulimi.
Mwaveja sana
 
Alikua Ban, sijui huko jela kuna kamchezo gani kamemvutia...
coz naona ni kama anaomba apewe tena.
Ngoja nisepe. Baadae babu. Deskmate, twende class.
Twenzetu bana, halaf leo topic ya reproduction. Inanogaje?
Baadae wakuu nawahi class na deskmate
 
Sio kweli mbona ana nyuki moja ya SHE we zama PM dunia yako chaguo ni lako chagua kuwa na Kongosho ujisikie raha

Ha ha haa, nimeipenda hiyo.

Dunia ni yangu, chaguo ni langu. Nichague kuwa na kongosho 2012!!!??

Grrrrrrrrrrr. Tatizo ni ile nyota nyengine bana!!
 
Tufunge mjadala mwakani kumbuka kuleta maboresho angalau na wewe ushiriki.
Nikiwa mpambe wa ODM, mpambe wa Babu, mpambe wa mkaguzi mkuu nakukaribisha kutumbua 50 ya man of the year in MMU karibu sana usijisikie vibaya si wapwaz hatunaga gubu wala kinyongo njoo tule ule hata kongoro tu kama sio ulimi.
Mwaveja sana
Mshindi aliandaliwa kwa matakwa ya watu fulani.
 
Dah kiongozi naona umeamua kunichinjia baharini mchana kweupeeee!!

Yaani umewakumbatia wajukuu watamu woooote hadi sioni mwingine wa ku propose.

anyway, Potelea mbali nikabidhi Kabakabana, nitakusaidia kumuangalia!!
Ngoja nimalizie kumkagua. Kuna mahali bado sijapakagua vizuri.
 
Back
Top Bottom