Aspirin: "JF Man Of The Year 2011"

Ni bora kurekebisha mfumo badala ya kufanya hicho unachouliza kwani ukishiriki katika mfumo mbovu hutakiwi ku-complain matokeo yatavokuwa mabaya.

Umeishiwa hoja kalale
 
uongo huo,kasema anataka mjukuu anaependwa na babu zaidi.
Jamani jamani jamani.... kusoma umeshindwa hata hii picha hapa vhini hujaiona?

Dah kiongozi naona umeamua kunichinjia baharini mchana kweupeeee!!

Yaani umewakumbatia wajukuu watamu woooote hadi sioni mwingine wa ku propose.

anyway, Potelea mbali nikabidhi Kabakabana, nitakusaidia kumuangalia!!
 
uongo huo,kasema anataka mjukuu anaependwa na babu zaidi.

Bibie nina wasiwasi huu mstari hapa kwa red color hujausoma.

Dah kiongozi naona umeamua kunichinjia baharini mchana kweupeeee!!

Yaani umewakumbatia wajukuu watamu woooote hadi sioni mwingine wa ku propose.

anyway, Potelea mbali nikabidhi Kabakabana, nitakusaidia kumuangalia!!
 
Kama foleni ni ndefu mi nipo tayari kufanya ukaguzi kwa niaba ya babu mkaguzi

Mkuu Fidel,

Pamoja na kwamba wewe ni mpambe wa karibu sana wa ODM, lakini katika hili naomba ukae pembeni kidogo ili swahiba wako akamilishe mchakato wa kunikabidhi mjukuu wake anayempenda from the deepest inner part of his heart!!
 
Dah! greti thinka mitishamba yuko serious kweli. Easy kamanda. Huyo mkuu wenyewe wa tume anasmamia huu uchaguzi akiwa intaneti cafe, sio serious kiviiile jibaba

hahahaha huwa unakunywa bia gani vilee?
 
Mkuu Fidel,

Pamoja na kwamba wewe ni mpambe wa karibu sana wa ODM, lakini katika hili naomba ukae pembeni kidogo ili swahiba wako akamilishe mchakato wa kunikabidhi mjukuu wake anayempenda from the deepest inner part of his heart!!

Sasa kwa taarifa yako babu aka babu wa wajukuuz aka ODM mi nikiwa kama mpambe ndo nae idhinisha sasa usipo nipa rushwa unaweza ishia kunawa tu au kuoga na mjini huendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…