TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,095
Ni bora kurekebisha mfumo badala ya kufanya hicho unachouliza kwani ukishiriki katika mfumo mbovu hutakiwi ku-complain matokeo yatavokuwa mabaya.
Umeishiwa hoja kalale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni bora kurekebisha mfumo badala ya kufanya hicho unachouliza kwani ukishiriki katika mfumo mbovu hutakiwi ku-complain matokeo yatavokuwa mabaya.
Umeshaamka? Kuna mtu anaitwa Mwita Maranya anataka akukague badala yangu eti.... Unasemaje?:A S-coffee:
keshaniahidi atanifanyia kesho yaani i cant wait,.lol
Umeshaamka? Kuna mtu anaitwa Mwita Maranya anataka akukague badala yangu eti.... Unasemaje?:A S-coffee:
keshaniahidi atanifanyia kesho yaani i cant wait,.lol
and you are not happy about it because...???!!!Mshindi aliandaliwa kwa matakwa ya watu fulani.
keshaniahidi atanifanyia kesho yaani i cant wait,.lol
Jamani jamani jamani.... kusoma umeshindwa hata hii picha hapa vhini hujaiona?uongo huo,kasema anataka mjukuu anaependwa na babu zaidi.
Dah kiongozi naona umeamua kunichinjia baharini mchana kweupeeee!!
Yaani umewakumbatia wajukuu watamu woooote hadi sioni mwingine wa ku propose.
anyway, Potelea mbali nikabidhi Kabakabana, nitakusaidia kumuangalia!!
uongo huo,kasema anataka mjukuu anaependwa na babu zaidi.
Dah kiongozi naona umeamua kunichinjia baharini mchana kweupeeee!!
Yaani umewakumbatia wajukuu watamu woooote hadi sioni mwingine wa ku propose.
anyway, Potelea mbali nikabidhi Kabakabana, nitakusaidia kumuangalia!!
and you are not happy about it because...???!!!
Mkuu tuchukulie tu Superman kaamua kutoa sadaka hizo 50 kwa wanao pendwa na member wa JF
Hahahaha foleni imeisha bana, Kabakabana...Come this way baby....Kama foleni ni ndefu mi nipo tayari kufanya ukaguzi kwa niaba ya babu mkaguzi
We ningekupatia ila jina lako limenitisha utaniharibia wajukuu zangu vinyeo vyao.Lijamaa linafaidi kweli kweli kufanya TBS
Jamani jamani jamani.... kusoma umeshindwa hata hii picha hapa vhini hujaiona?
Kama foleni ni ndefu mi nipo tayari kufanya ukaguzi kwa niaba ya babu mkaguzi
Kama foleni ni ndefu mi nipo tayari kufanya ukaguzi kwa niaba ya babu mkaguzi
sitaki eti wajukuu watamu wote hawapo ndo unantaka mimi? Ina maana mie sio mtamu? SITAKI nimesemaBibie nina wasiwasi huu mstari hapa kwa red color hujausoma.
yani wewe una mapoint ndo mana ulikuwa kiranja mkuu primary
Bibie nina wasiwasi huu mstari hapa kwa red color hujausoma.
Ayaaaaaa!sitaki eti wajukuu watamu wote hawapo ndo unantaka mimi? Ina maana mie sio mtamu? SITAKI nimesema
Dah! greti thinka mitishamba yuko serious kweli. Easy kamanda. Huyo mkuu wenyewe wa tume anasmamia huu uchaguzi akiwa intaneti cafe, sio serious kiviiile jibaba
Mkuu Fidel,
Pamoja na kwamba wewe ni mpambe wa karibu sana wa ODM, lakini katika hili naomba ukae pembeni kidogo ili swahiba wako akamilishe mchakato wa kunikabidhi mjukuu wake anayempenda from the deepest inner part of his heart!!
Ayaaaaaa!
Nilikwambia Mwita.... I told you yooo! IGWEEEEEE!