Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee kumbe kuna zawadi?
Tusker Malt zitanikomaje?
Naomba wanaotaka kujumuika nami katika kuiteketeza hii fifty wanyooshe vidole juu.
Ahsanteni sana.
Huyo si mwengine bali ni Nyani Ngabu (auto-proclamed)! utaweza?:A S 39:ODM wewe ni "JF Man of the year" mimi I am more interested in a Man of all Years......:eyebrows:
Aisee!
Ngoja nimtafute The Boss aje aniandikie speech ya shukrani. Wengine kuandika maneno mengi ya shukrani ungwini umetupitia pembeni. Yangekuwa makalkulesheni hapa ingekuwa afazali.
Anyway Ngoja nijaribu:
Kwa niaba ya mai dia waifu yaani bibi yenu (Hongera na nakutakia heri ya siku yako na wanawake wenzako)
Kwa niaba ya vibinti vyangu Mamshanga na ze griit Matesha (Someni kwa bidii laaleki, mje muwe member JF lol)
Kwa niaba ya kampeni Meneja wangu Kongosho asali ya ODM
Kwa niaba ya mratibu wa kampeni mai felo tablet klorokwini
Kwa niaba ya mababu wenzangu Dark City na Mtambuzi
Kwa niaba ya mwenyekiti wa JEC mheshimiwa Superman (ungechakachua kura yangu ungenikoma)
Kwa niaba ya wapwa, mabinamu, wajukuuz, mashemeji na hommies wote
Kwa niaba ya mabingwa EMT na BAK
Na kwa niaba yangu binafsi na viungo vyangu vyote mwilini...
Mimi ODM wa wajukuu nawashukuruni nyote kwa mpigo. Mlionipigia kura na msionipigia. Mlioninominate na msioninominate...yaani wote wa majukwaa yote (la wakubwa liheshimiwe zaidi lol). Yaani ahsanteni sana. Yaani dah! Yani tulihuzunika pamoja, tukafurahia pamoja na tutaendelea kuwa pamoja sana. Yaani nyie watu nyie. Yaani laaleki walahi. Yaani...
Sasa basi: Mimi nisiyestahili kupewa heshima kubwa namna hii kwa moyo wa upendo na wa dhati kabisa. Naudediketi ufalme huu kwa BAK na EMT. Tuuagawane sawa kwa sawa (Isipokuwa zawadi. Hii inawahusu Kongosho na klorokwini lol)
Baada ya kusema hayo..... Napiga magoti kuwaombeeni nyote msamehewe dhambi zenu zote na kuwasihi msirudie tena kutenda dhambi.
Mungu ibariki JF, Mungu wabariki madaktari, Mungu ibariki siku ya wanawake.
Ahsanteni kwa kunisikiliza.
Wasalaam; Asprin a.k.a Babu wa them Jukuuz, ODM.
Kaunta ya Juu
Kingstar Bar
Boko Basihaya.
Did I tell you how much I love you? Yes, Very much!aiseeee anyway nimeipenda sana speech yako na wala the boss hahitaji kukutungia.Its a very nice speech which shows why all these people voted for you because you deserve it and more!Touching words from your heart indicates the love that you have for jf members.
Congrats once again babu,,enjoy!cheers,
Did I tell you how much I love you? Yes, Very much!
Copied and filed!hehehehe kupendwa na babu raha wenye wivu wajinyongelol! Love you more sweet babu lol
Thanx my dear. Afu deni langu utalipa lini?MOY ASPRIN FOR STRESS FREE JF LOL!
congratulation babu!
kwanza kanigongee like bwana babu!Thanx my dear. Afu deni langu utalipa lini?
love u tooDid I tell you how much I love you? Yes, Very much!