Aspirin: "JF Man Of The Year 2011"

Aspirin: "JF Man Of The Year 2011"

Kweli mkuu ningeweza shinda mimi au wewe wapo wengine wangekuja kubisha kama wewe tukubali matokeo na kukomaa kiJF

Kukataa matokeo ni tatizo la kimataifa, mwanzoni nilidhani ni afrika tu lakini kadri siku zinavyokwenda ninagundua kwamba hili ni tatizo la kidunia, kwahiyo nchi zote duniani zinahitaji kuzitathmini upya tume zao za uchaguzi pamoja na sheria za uchaguzi, kwani kuna baadhi ya taratibu nzuri na pia kuna baadhi ni mbaya katika uendeshaji wa uchaguzi.

Lililo muhimu ni kuzidi kuboresha utaratibu mzima wa kujipatia washindi, nadhani tujadiliane hapo baade na tuambizane wapi tunadhani panastahili kurekebishwa.

Lakini la muhimu zaidi kabla ya kutupa lawama kwa wasimamizi wa uchaguzi tujiangalie sisi wenyewe tumeshiriki kiasi gani kuufanya uteuzi na hatimaye uchaguzi kuwa wa haki? kama hatushiriki kufanya nominations, hatushiriki kupiga kura, tunapata wapi nguvu za kupinga matokeo??
 
Kuna mtu katoka Ban leo naona kaingia kwa hasira kweli kweli.
Hivi ukiwa jela huruhusiwi kupiga kura?
Next time tuwaombe mod waweke huo utaratibu hahahahaha
 
Ndo upuuzi wenyewe huu!
Kama ni mapenzi yake si angewachagua moja kwa moja hao anaowapenda.
Kuna haja gani ya kuweka misingi ya kumpata yule anayemtaka yeye kwa kivuli cha "shindano"

Join Date : 21st December 2011
Posts : 540
Rep Power : 420

Basi akupe wewe hiyo 50
Mpwa mpe huyo mgao naona analia
 
kwa kweli mimi simwelewi mitishamba...!ana wivu sana huyu jamaa...!kubali matokeo mwaka uishe...!mwakan kama unaweza ingia kwenye mtanange...mimi na kimey tumeshanunua fomu...!

halaf kabla sijasahau...amyner na neiwa nimewatumia pm hapo vipi mmeziona...?kwa kifup nitumien namba zenu za em pesa niwawezeshe hela za loshen...!i love you ladies
 
Kama umenifuatilia vizuri ndo mana nimesema hiyo title ibadilishwe na kuwa "mmu man of the year". Hiyo tuta-argue vingine tofauti na sasa.

Hahahaha tumwombe jamaa awasiliane na mods wabadilishe title tu biashara iishe karibu kutumbua hizo 50
 
Kuna mtu katoka Ban leo naona kaingia kwa hasira kweli kweli.
Hivi ukiwa jela huruhusiwi kupiga kura?
Next time tuwaombe mod waweke huo utaratibu hahahahaha
Halaf jana nilikumiss mpaka nikawa nachora jina lako kwenye jasho langu. Haujambo?
 
Kukataa matokeo ni tatizo la kimataifa, mwanzoni nilidhani ni afrika tu lakini kadri siku zinavyokwenda ninagundua kwamba hili ni tatizo la kidunia, kwahiyo nchi zote duniani zinahitaji kuzitathmini upya tume zao za uchaguzi pamoja na sheria za uchaguzi, kwani kuna baadhi ya taratibu nzuri na pia kuna baadhi ni mbaya katika uendeshaji wa uchaguzi.

Lililo muhimu ni kuzidi kuboresha utaratibu mzima wa kujipatia washindi, nadhani tujadiliane hapo baade na tuambizane wapi tunadhani panastahili kurekebishwa.

Lakini la muhimu zaidi kabla ya kutupa lawama kwa wasimamizi wa uchaguzi tujiangalie sisi wenyewe tumeshiriki kiasi gani kuufanya uteuzi na hatimaye uchaguzi kuwa wa haki? kama hatushiriki kufanya nominations, hatushiriki kupiga kura, tunapata wapi nguvu za kupinga matokeo??
Hehehehe...afu bahati nzuri ni kuwa mie mwenyewe nahisi sistahili kiviiile laki sasa ntafanyaje wakati kuna kafifty kananingoja?
 
Join Date : 21st December 2011
Posts : 540
Rep Power : 420

Basi akupe wewe hiyo 50
Mpwa mpe huyo mgao naona analia
Mpwa mi namuachia hiyo taito. Hiyo fifty imekaa kimaslahi zaidi.
 
We Kongosho anakufaa hebu zama PM

Mkuu naona wewe ndo hunitakii mema kabisaaaa,

Si nimeambiwa huyu kongosho ni shemale, sasa mimi nitampeleka wapi na ukizingatia mimi mtu wa bara, tena nchi ya milima ya mawe??
 
Siyo kwamba tutamaliza biashara bali tuta-argue kivingine. Hatuwezi kuvumilia uozo huu.

Tuta argue wakati tunaitumbua hiyo 50 na tutajadili mwakani shindano liboreshweje ili kuwe na ufanisi zaidi
 
hiyo sio ishu kwa sasa.
Kama utaratibu ni mbovu ni bora kutoshiriki ili na wewe usiwe part ya matokeo ya uozo huo.

Ishu ni kwamba kura ulipiga?
Au ulijipigia kura ukaambulia 0? Ndo tuanzie hapo kujadili povu lako
 
Hehehehe...afu bahati nzuri ni kuwa mie mwenyewe nahisi sistahili kiviiile laki sasa ntafanyaje wakati kuna kafifty kananingoja?

Kiongozi najua hustahili kabisa, sema tu ulitumia mbinu mbadala:lol::lol:

Lakini mkuu nimejitahidi kukupigania sana, mbona sioni dalili za commission?
 
Mkuu naona wewe ndo hunitakii mema kabisaaaa,

Si nimeambiwa huyu kongosho ni shemale, sasa mimi nitampeleka wapi na ukizingatia mimi mtu wa bara, tena nchi ya milima ya mawe??

Sio kweli mbona ana nyuki moja ya SHE we zama PM dunia yako chaguo ni lako chagua kuwa na Kongosho ujisikie raha
 
kwa kweli mimi simwelewi mitishamba...!ana wivu sana huyu jamaa...!kubali matokeo mwaka uishe...!mwakan kama unaweza ingia kwenye mtanange...mimi na kimey tumeshanunua fomu...!

halaf kabla sijasahau...amyner na neiwa nimewatumia pm hapo vipi mmeziona...?kwa kifup nitumien namba zenu za em pesa niwawezeshe hela za loshen...!i love you ladies
Tatizo lenu mkikosolewa huko ndiko kimbilio lenu..!
 
Back
Top Bottom