Assessment ya Utawala wa Awamu ya 6 tangu Machi hadi leo Desemba 31, 2021. So far so good, hongera Samia!

Wapi imeandikwa kuwa hii ni awamu ya tano kipindi cha pili?
 
Wapi imeandikwa kuwa hii ni awamu ya tano kipindi cha pili?
Wewe ni mgeni hapa Tanzania??? Tumia zawadi ya Ubongo akili Kupambanua.mambo ....acha kukaririshwa....hii ni awamu ya tano sio ya sita.

Upo wewe POPOMA..

??πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Miezi 9 ya SSH amefanya vizuri katika nyanja hizi:-

1.Uchumi umedorora sana.

2.Biashara zimekufa.

3.Ajira Mpya ni ndoto.

3.Mfumuko Wa Bei upo juu.

4.Hakuna Uhuru Wa Vyombo vya habari.

5. Deni la Taifa limenenepa hadi 70Trillion.

6.Wafungwa wa kisiasa kuendelea kufungwa magerezani.

7.Uvunjwaji wa Haki za Binadamu.

8.Vyama vya upinzani kukosa uhuru wa kufanya mikutano ya adhara.

9. Kesi za kupangwa mfano kesi ya Ugaidi dhidi ya Mbowe na wenzake.

10. Hakuna nyengeza ya mishahara kwa watumishi.

11. BIASHARA ya Mabenki na Taasisi za Fedha kudorora.

12.Huduma za afya zimedorora kwa kiasi kikubwa..

13. Kupungua kwa Huduma za Jamii.

14. Rushwa kunawiri.

15. Watesaji, Wahuni, Viroboto kuendelea kuneemeka wakati wananchi wakitahabika.

16. Tumeibadili Tanzania hadi kuwa TozoNIA.

17. Mafuta kupanda bei kwa kiwango cha hali ya juu sana!

18. Kushuka kwa uzalishaji ktk Kilimo, Utalii, Madini, Ufugaji, Mazao ya Misitu.

Una lipi la kuongeza katika haya?
 
Ww ni muongo aisee!
Mbona mishahara imepanda?
Na baadhi ya ndugu zetu na marafiki wameajiriwa?
Na pia uhuru wa habari upo sana tu.
 
Jibu swali! Imeandikwa wapi kuwa Hii ni Awamu ya tano kipindi cha pili?
Wewe ni mgeni hapa Tanzania??? Tumia zawadi ya Ubongo akili Kupambanua.mambo ....acha kukaririshwa....hii ni awamu ya tano sio ya sita.

Upo wewe POPOMA..

??πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
dawa za akili zitakusaidia!

Uchumi upi umekufa? Kwa Mara ya kwanza tuna hifadhi ya fedha za kigeni kuhudumia nchi kwa miezi 7 alafu unasema Uchumi umekufa?

Biashara gani zimekufa? Unaishi Tanzania au Burundi?

Unazungumzia ajira gani hakuna? Mie tu Kuna dogo kitaani kwangu ameajiriwa Mwaka 2021 mwezi wa 6 kwenye ajira za walimu

We endelea kuugua kichaa huku H.E Samia akichanja mbuga
 

Kukosew kwa uandalizi wa hotuba ya Rais nayo ni sukuma gang?
 

Ukiwa mfuasi wa ccm hata ukiambiaw hii ni nyoka ina ng'ata usiiguse hutaeleweka, na hata ikimgonga utasikia tunambinu nying kutibu jeraha.
 
Nishati anajikwamisha yeye mwenyewe kwa kuweka watu wasio na uwezo katika hiyo wizara. Ushauri wangu mama ampeleke Lukuvi nishati, Professa Muhongo madini. January apelekwe tecknolojia na habari.
 
Hongera sana watu wa mchambawima, maana nusu ya fedha za mikopo zanaletwa kwenu, lakini deni litalipwa na watanganyika, kero za muungano kwishney
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…