Assume ndio siku yako ya harusi unakutana na vyombo kama hivi....

Ukweli ni kwamba wanaume hawawezi kuacha kutazama uumbaji wa Mungu, hili wanawake wanapaswa kulitambua...

Kupenda kwa mwanaume huanza kwa kutamani halafu baadaye ndio upendo...

Kwa nini anatamani kwanza, jibu ni kuwa kwa sababu kaumbiwa kuwinda na kila awindaye hutafuta kwanza mawindo yaliyonona kabla ya kufyatua silaha
Nakumbuka tulikuwa kwenye kharusi moja ya ndugu yetu, nilikuwa na mabinti wengine pamoja na mdogo wangu mmoja mtoto wa mamkubwa, yule binti ni mrembo hasa alishawahi shiriki mashindano ya urembo pia.!!

Bwana kharusi akili yote ikamtoka akawa anamshangaa yule binti mpaka anapoteza concentration, unamuona kabisa huyu anajizuia lakini anashindwa, na upande tumekaa ni rahisi kuonana, wakati wa kula ndo kabisa hamtazami mkewe aliyevaa shela hapo pembeni, ni vimacho havitulii.!! aiseeh' ilibidi tufanye utaratibu tu tuondoke maana mambo yalikuwa tayari magumu,

Wanaume, walaqhi mtavunja ndoa zenu siku ya kharusi..!! [emoji23] [emoji23]
 
This is true. Mwanaume hata awe mzee lakini lazima ataangalia haya maua. Hata uoe miss ambaye anavigezo vyote lakini suala la kutamani liko pale pale. Hata awe baba mchungaji. So hilo wala halikuwa tatizo
 
Hilo mashine lenye gauni la blue la kibabe sana,hapo unalipiga deo kwa ile staili ya uhuru kenyata.[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Sweetielee
Nakumbuka tulikuwa kwenye kharusi moja ya ndugu yetu, nilikuwa na mabinti wengine pamoja na mdogo wangu mmoja mtoto wa mamkubwa, yule binti ni mrembo hasa alishawahi shiriki mashindano ya urembo pia.!!

Bwana kharusi akili yote ikamtoka akawa anamshangaa yule binti mpaka anapoteza concentration, unamuona kabisa huyu anajizuia lakini anashindwa, na upande tumekaa ni rahisi kuonana, wakati wa kula ndo kabisa hamtazami mkewe aliyevaa shela hapo pembeni, ni vimacho havitulii.!! aiseeh' ilibidi tufanye utaratibu tu tuondoke maana mambo yalikuwa tayari magumu,

Wanaume, walaqhi mtavunja ndoa zenu siku ya kharusi..!! [emoji23] [emoji23]
Sweetilee , viatu vyetu ni challenging sana, tunajitahidi sana kupambana na nature ili kuwafurahisha ninyi.

Amini: mwanaume mwaminifu 100% kwenye ndoa yake,,, huyo hana furaha na hiyo ndoa.
 
SweetieleeSweetilee , viatu vyetu ni challenging sana, tunajitahidi sana kupambana na nature ili kuwafurahisha ninyi.

Amini: mwanaume mwaminifu 100% kwenye ndoa yake,,, huyo hana furaha na hiyo ndoa.
Naomba kujua sababu kama hutojali mkuu.!!
 
Wanaume hamjui rangi [emoji23][emoji23][emoji23]hyo ni purple sio blue
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa hapo utakuwa makini na rangi kweli?...mwanzo nilitaka kuandika nyekundu[emoji85][emoji85], toto hiloooo[emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]
 
Back
Top Bottom