Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,925
- Thread starter
- #21
Mkuu sio wote wanahiji viji-link kuelewa odds za asteroids ku-hit the earth na impact yake, kuna watu hizi ni fani zao. Sasa wewe umechea hot wire za fani za watu halafu unapoulizwa unato vilink?
You don't have to, if you are not interested in just step out. Kuna wanaopenda kujua yanayoendelea katika universe yetu, walio-interested kusoma na kujua kinachoendelea waachie kama mie nisivyo interested kwa baadhi ya majukwaa sina haja ya kwenda kuwaambia siyapendi, ni yao nawaachia na interest zao.
Hapa sijaleta mada ya kujibiwa bali kuhabarisha na ye yote anaweza kuchangia anavyofahamu. Wengi wetu tumepitia madarasa kwa unachotaka kujua zaidi fanyia kazi kukijua kwani uwanja ni mpana sana.
Thank.