Asteroid headed to heat the earth

Asteroid headed to heat the earth

Mkuu sio wote wanahiji viji-link kuelewa odds za asteroids ku-hit the earth na impact yake, kuna watu hizi ni fani zao. Sasa wewe umechea hot wire za fani za watu halafu unapoulizwa unato vilink?

You don't have to, if you are not interested in just step out. Kuna wanaopenda kujua yanayoendelea katika universe yetu, walio-interested kusoma na kujua kinachoendelea waachie kama mie nisivyo interested kwa baadhi ya majukwaa sina haja ya kwenda kuwaambia siyapendi, ni yao nawaachia na interest zao.

Hapa sijaleta mada ya kujibiwa bali kuhabarisha na ye yote anaweza kuchangia anavyofahamu. Wengi wetu tumepitia madarasa kwa unachotaka kujua zaidi fanyia kazi kukijua kwani uwanja ni mpana sana.

Thank.
 
Haina nona,
Ila sikusema kuwa sina dukuduku la kujua haya mambo, nilichosema ni kuwa husikilizi hoja za wengine na kuzielewa ili uzijibu wewe unakimbilia kuweka link.
 
Mkuu nashukuru Mungu hiyo asteroid iliipita dunia salama ikiwa umbali wa miles karibuni elfu 24 above the sky tarehe 15 mwezi huu.ila at the same day,kuna meteorite ilianguka ktk mji mmoja huko russia karibu na milima ya ural.actually haikuanguka ardhini ila ililipuka ikiwa kama 15 miles above the sky na mlipuko wake ulizalisha karibu 500 kilotons of energy!watu karibu 1200 walijeruhiwa kutokana na kupasuka kwa vioo na mgandamizo mkubwa wa sauti angani na wengine wakiwa hoi kutokana na mstuko.uliisikia hii?imetangazwa sana!wanasayansi wanahangaika saa hizi kujua meteorite hiyo ilikotokea baada ya kugundua haikuwa na uhusiano na asteroid ya 2012DA14!taarifa za awali za kiuchunguzi zinasema kuwa meteorite hiyo itakuwa imebebwa na orbit ya Mars kutoka ktk asteroid belt!hii ni taarifa mbaya kwa wanaojua mambo ya anga.maana yake kuna mfumo unaojengeka angani kuyakokota mawe kutoka ktk asteroid belt kuja duniani.sasa mara nyingi mawe yanayotoka ktk belt hiyo huwa na size na speed kubwa kiasi cha kuipenya atmosphere yetu na kuikaribia dunia yakiwa hayajateketea vizuri kama hii ya russia iliyolipuka 15 miles karibu na ardhi na kutoa mlipuko sawa na nyuklia bomb.je,hii ni warning for something more to come in future?Only GOD knows!
 
Back
Top Bottom