Mimi timu yangu ya kwanza ni Leeds United ya Mark Viduka na Harry Kewel.Chama langu la utotoni hili.Sasa hivi nalifanya back up ya Man u
Watanzania bwana. Aston Villa ikishuka ligue sijui mtajificha wapi ?
Ndiyo maana kaletwa Sama goal paleTimu yenyew inabidi ipambane vilivyo kuhakikisha inabaki ligi wakimbwela mbwel watarudi Championship
Sent using Jamii Forums mobile app
Aston villa imechukua UCL mara 1 imeizidi hata man city na arsenalAston Vila washawahi twaa UEFA champions league kwaio ni timu kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbagala Majimatitu.??? Kwan ni lazima utaje na location ili watu wajue kwamba unamjua kiivyo.???Kimsingi nitaanza kufatilia game za Aston Villa, niwe namwona Kijana wa Mbagala Majimatitu anavyopambana kuitangaza Tanzania.
Viva Samata.
Sent using Jamii Forums mobile app
So?Mbagala Majimatitu.??? Kwan ni lazima utaje na location ili watu wajue kwamba unamjua kiivyo.???
Melvine
Yaani wamemfanya Samatta aforce uhamisho kwenda EPL hata kama anakwenda kucheza team mbovu. Mimi watanzania siwaelewi kabisa. Yaani Samata kucheza Aston Villa ni kama sijui nini. Hivi angeenda Barcelone naona tungeandamana kabisa.Na kule wanaenda kushuka tena, wawaulize Sunderland pale championship palivyo pagumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wamemfanya Samatta aforce uhamisho kwenda EPL hata kama anakwenda kucheza team mbovu. Mimi watanzania siwaelewi kabisa. Yaani Samata kucheza Aston Villa ni kama sijui nini. Hivi angeenda Barcelone naona tungeandamana kabisa.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣nimemkumbuka Diana Aston Villa! R.I.P Diana.
Madamuuu Tafadhali Bwana 🤣🤣Yaani wamemfanya Samatta aforce uhamisho kwenda EPL hata kama anakwenda kucheza team mbovu. Mimi watanzania siwaelewi kabisa. Yaani Samata kucheza Aston Villa ni kama sijui nini. Hivi angeenda Barcelone naona tungeandamana kabisa.
Inatakiwa astand out kweli maana kwa nafasi anayocheza wapo wengi mno wazuri.Atacheza epl kwa mda wa miezi minne tu, ila akionyesha makali aston akishuka wanaopanda daraja watamchukua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimsingi nitaanza kufatilia game za Aston Villa, niwe namwona Kijana wa Mbagala Majimatitu anavyopambana kuitangaza Tanzania.
Viva Samata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee unatafuta kufa sio bure, yaani kwa hizo timu na bongo ingezea yangaChama langu la utotoni hili.Sasa hivi nalifanya back up ya Man u