Aston Villa special thread (Blue army)

Aston Villa special thread (Blue army)

Na kule wanaenda kushuka tena, wawaulize Sunderland pale championship palivyo pagumu

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wamemfanya Samatta aforce uhamisho kwenda EPL hata kama anakwenda kucheza team mbovu. Mimi watanzania siwaelewi kabisa. Yaani Samata kucheza Aston Villa ni kama sijui nini. Hivi angeenda Barcelone naona tungeandamana kabisa.
 
Atacheza epl kwa mda wa miezi minne tu, ila akionyesha makali aston akishuka wanaopanda daraja watamchukua
Yaani wamemfanya Samatta aforce uhamisho kwenda EPL hata kama anakwenda kucheza team mbovu. Mimi watanzania siwaelewi kabisa. Yaani Samata kucheza Aston Villa ni kama sijui nini. Hivi angeenda Barcelone naona tungeandamana kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wamemfanya Samatta aforce uhamisho kwenda EPL hata kama anakwenda kucheza team mbovu. Mimi watanzania siwaelewi kabisa. Yaani Samata kucheza Aston Villa ni kama sijui nini. Hivi angeenda Barcelone naona tungeandamana kabisa.
Madamuuu Tafadhali Bwana 🤣🤣
 
Back
Top Bottom