Aston Villa special thread (Blue army)

Mimi ni mshabiki rasmi wa Aston Villa wa siku nyingi sana, ujio wa Samatta kwenye timu yetu imenipa hamasa kubwa sana.
 
Yaani wamemfanya Samatta aforce uhamisho kwenda EPL hata kama anakwenda kucheza team mbovu. Mimi watanzania siwaelewi kabisa. Yaani Samata kucheza Aston Villa ni kama sijui nini. Hivi angeenda Barcelone naona tungeandamana kabisa.
Kila jambo lina mwanzo wake, kucheza tu katika ligi kuu ya uingereza ni mafanikio makubwa sana, mengine yanafuata. Samatta amefungua njia.
 
Kila jambo lina mwanzo wake, kucheza tu katika ligi kuu ya uingereza ni mafanikio makubwa sana, mengine yanafuata. Samatta amefungua njia.
Kelvin yule atacheza team kubwa. Umri unamruhusu. Ila Sammata naona alikuwa na ndoto ya kucheza EPL,no matter team gani.
 
Leo wamepiga mwingi mno come back na wameshinda 2-1 wamepanda mpaka nafasi ya 16.
 
Katika usajili mzuri wamefanya villa basi ni reina! Atawastili saana pale golini!!

Na samatta akiwa kwenye fom nzuri tu, wategemee kutokushuka daraja kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…