1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Tuko pamoja,Rasmi mimi ni mshabiki wa aston villa kwa muda wa miaka mi4 na musu ikitegemea na hatima ya samatta katika klabu hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko pamoja,Rasmi mimi ni mshabiki wa aston villa kwa muda wa miaka mi4 na musu ikitegemea na hatima ya samatta katika klabu hiyo.
Tuko pamoja mkuu.Rasmi mimi ni mshabiki wa aston villa kwa muda wa miaka mi4 na musu ikitegemea na hatima ya samatta katika klabu hiyo.
Tunashuka nayo mkuu. Ilipo tupo!Watanzania bwana. Aston Villa ikishuka ligue sijui mtajificha wapi ?
"Ukitaka kuendelea kupata vichekesho kama hivi bonyeza nyota" alisikika mlevi mmoja akisemaTeam zote alizochezea Samata zilichukua ubingwa sasa ni zamu Aston villa
Sent using Jamii Forums mobile app
Championship sio kuzuri aiseeNa kule wanaenda kushuka tena, wawaulize Sunderland pale championship palivyo pagumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila jambo lina mwanzo wake, kucheza tu katika ligi kuu ya uingereza ni mafanikio makubwa sana, mengine yanafuata. Samatta amefungua njia.Yaani wamemfanya Samatta aforce uhamisho kwenda EPL hata kama anakwenda kucheza team mbovu. Mimi watanzania siwaelewi kabisa. Yaani Samata kucheza Aston Villa ni kama sijui nini. Hivi angeenda Barcelone naona tungeandamana kabisa.
Kelvin yule atacheza team kubwa. Umri unamruhusu. Ila Sammata naona alikuwa na ndoto ya kucheza EPL,no matter team gani.Kila jambo lina mwanzo wake, kucheza tu katika ligi kuu ya uingereza ni mafanikio makubwa sana, mengine yanafuata. Samatta amefungua njia.