Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ni baada ya kuichapa Derby count kwa mabao 2-1 katika mchezo mkali wa fainali ya Play off
Mabao ya El Ghazi dk 44 na lile la Mac Ginn dk ya 59 , bao la kufutia machozi la Derby lilifungwa na Wagorn dk 81
Kila la heri Aston Villa
hii mikiki iliyoko epl inabidi as vllla wafanye usajiri wa maana kabla ya kuanza msimu. la sivyo wanarudi walikotoka kwa mara nyingine.
duuh kupanda tu mshiko wote huo!Kwa kupanda tu daraja watapata pauni 170 na ukijumlisha na zingine za reserve wanaweza kusajili wachezaji wa maana.
duuh kupanda tu mshiko wote huo!
na bingwa epl anapewa kiasi gani?Hiyo hatari sheikh.
Wenyewe waita hiyo windfall.
Yap wawe ni mikakati ya kujijuwa wanataka nini EPL, wasiwe kama fulham ilitumia mabilion kwenye usajili lakini wakaambulia kushuka darajaKwa kupanda tu daraja watapata pauni 170 na ukijumlisha na zingine za reserve wanaweza kusajili wachezaji wa maana.
Asante kwa taarifa sikufuatilia game hii before ..inatia moyo kuona wenzetu wanaendelea kufanya vitu vya maana ktk tasnia..karne him... (japo kuna uzi humu umeniita bwege)Hii ni baada ya kuichapa Derby count kwa mabao 2-1 katika mchezo mkali wa fainali ya Play off
Mabao ya El Ghazi dk 44 na lile la Mac Ginn dk ya 59 yalitosha kuifanya Villa ikamilishe timu tatu zilizopanda daraja msimu huu , bao la kufutia machozi la Derby lilifungwa na Wagorn dk 81
Kila la heri Aston Villa
Una mzigo kumbe!Asante kwa taarifa sikufuatilia game hii before ..inatia moyo kuona wenzetu wanaendelea kufanya vitu vya maana ktk tasnia..karne him... (japo kuna uzi humu umeniita bwege)
Nausubir kwa haamu msimu ujaoKupanda daraja tu Aston Villa itapata pauni milioni 170.
Villa inamilikiwa na mabilionea wawili mmoja Mmisri, mchina na mwingine Mmarekani.
Msimu ujao utakuwa mgumu sana kwa timu kama Arsenal na Manchester United.
Kwani Newcastle nayo imenunuliwa na mdogo wake mmiliki wa Manchester City kwa pauni milioni 350.
Kwa kweli ipo kazi msimu wa 2019/2020
lakini Ally Choki yupo na bendi mpya mwanzaNimemkumbuka Diana Aston Villa, R.I.P
Vita havina machoAsante kwa taarifa sikufuatilia game hii before ..inatia moyo kuona wenzetu wanaendelea kufanya vitu vya maana ktk tasnia..karne him... (japo kuna uzi humu umeniita bwege)
na bingwa epl anapewa kiasi gani?
Hivi bingwa wa championship na bingwa wa playoff final nani anapata mkwanja mrefu zaidi,Kupanda daraja tu Aston Villa itapata pauni milioni 170.
Villa inamilikiwa na mabilionea wawili mmoja Mmisri, mchina na mwingine Mmarekani.
Msimu ujao utakuwa mgumu sana kwa timu kama Arsenal na Manchester United.
Kwani Newcastle nayo imenunuliwa na mdogo wake mmiliki wa Manchester City kwa pauni milioni 350.
Kwa kweli ipo kazi msimu wa 2019/2020