Aston Villa yarejea ligi kuu ya England

Aston Villa yarejea ligi kuu ya England

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ni baada ya kuichapa Derby count kwa mabao 2-1 katika mchezo mkali wa fainali ya Play off

Mabao ya El Ghazi dk 44 na lile la Mac Ginn dk ya 59 yalitosha kuifanya Villa ikamilishe timu tatu zilizopanda daraja msimu huu , bao la kufutia machozi la Derby lilifungwa na Wagorn dk 81

Kila la heri Aston Villa
 
hii mikiki iliyoko epl inabidi as vllla wafanye usajiri wa maana kabla ya kuanza msimu. la sivyo wanarudi walikotoka kwa mara nyingine.
 
Mabao ya El Ghazi dk 44 na lile la Mac Ginn dk ya 59 , bao la kufutia machozi la Derby lilifungwa na Wagorn dk 81

Kila la heri Aston Villa

Kupanda daraja tu Aston Villa itapata pauni milioni 170.

Villa inamilikiwa na mabilionea wawili mmoja Mmisri, mchina na mwingine Mmarekani.

Msimu ujao utakuwa mgumu sana kwa timu kama Arsenal na Manchester United.

Kwani Newcastle nayo imenunuliwa na mdogo wake mmiliki wa Manchester City kwa pauni milioni 350.

Kwa kweli ipo kazi msimu wa 2019/2020
 
hii mikiki iliyoko epl inabidi as vllla wafanye usajiri wa maana kabla ya kuanza msimu. la sivyo wanarudi walikotoka kwa mara nyingine.

Kwa kupanda tu daraja watapata pauni 170 na ukijumlisha na zingine za reserve wanaweza kusajili wachezaji wa maana.
 
Yap wawe ni mikakati ya kujijuwa wanataka nini EPL, wasiwe kama fulham ilitumia mabilion kwenye usajili lakini wakaambulia kushuka daraja
 
Hii ni baada ya kuichapa Derby count kwa mabao 2-1 katika mchezo mkali wa fainali ya Play off

Mabao ya El Ghazi dk 44 na lile la Mac Ginn dk ya 59 yalitosha kuifanya Villa ikamilishe timu tatu zilizopanda daraja msimu huu , bao la kufutia machozi la Derby lilifungwa na Wagorn dk 81

Kila la heri Aston Villa
Asante kwa taarifa sikufuatilia game hii before ..inatia moyo kuona wenzetu wanaendelea kufanya vitu vya maana ktk tasnia..karne him... (japo kuna uzi humu umeniita bwege)
 
Kupanda daraja tu Aston Villa itapata pauni milioni 170.

Villa inamilikiwa na mabilionea wawili mmoja Mmisri, mchina na mwingine Mmarekani.

Msimu ujao utakuwa mgumu sana kwa timu kama Arsenal na Manchester United.

Kwani Newcastle nayo imenunuliwa na mdogo wake mmiliki wa Manchester City kwa pauni milioni 350.

Kwa kweli ipo kazi msimu wa 2019/2020
Nausubir kwa haamu msimu ujao
IMG_20181011_065812.jpg
 
na bingwa epl anapewa kiasi gani?

Manchester City 38.4m

Liverpool 36.5m

Chelsea 34.6m

Kila ligi ina mshiko wake kutokana na vyanzo vyake vya mapato pamoja na idadi ya wadhamini.
 
Kupanda daraja tu Aston Villa itapata pauni milioni 170.

Villa inamilikiwa na mabilionea wawili mmoja Mmisri, mchina na mwingine Mmarekani.

Msimu ujao utakuwa mgumu sana kwa timu kama Arsenal na Manchester United.

Kwani Newcastle nayo imenunuliwa na mdogo wake mmiliki wa Manchester City kwa pauni milioni 350.

Kwa kweli ipo kazi msimu wa 2019/2020
Hivi bingwa wa championship na bingwa wa playoff final nani anapata mkwanja mrefu zaidi,
Nauliza kwa kupata elimu mkuu sio naku challenge [emoji120]
 
Back
Top Bottom