Umenifurahisha sana
Naton Jr na hizo taarifa za 'watalii' unazozipost ukidhani kwamba wanaisifia Dodoma. ''Going to Dodoma is not so easy.
There is no international flight landing
on the small Dodoma airport. When I
said small, I was comparing it to the
Cluj-Napoca airport
not to any other
capital city airport from Europe.
I mean it is a “two-rooms” airport'' [emoji38][emoji38][emoji38] Huo sasa ndio mji ambao mnajaribu kuufananisha na Nairobi? Yaani hata kule kwenye uwanja wa ndege Eldoret Town kuna international flights ambazo zinatua humo.
😀