At least 13 US service members killed in Kabul airport attack

At least 13 US service members killed in Kabul airport attack

makafiri mna tabia hiyo ya kuhusisha ugaidi wa WAislamu na uislamu, japo si wote, baadhi ambao si waelewa.
Ostadhi Kale hii kitu kwanza akili ziku kae sawa
JamiiForums21535040.gif
 
Not all Muslim are terrorist but all terrorist are Muslim. Explain with vivid examples.
Nakupa home work hiyo
Wrong, all terrorists are no Muslims. There are Christian terrorists too! Ever heard of CRUSADE.. that was Christian terrorism. Ever heard Ultra rightist, white nation etc in USA, that is christian terrorism.
 
Kama ilivyokuwa Iraq, Libya,Syria na sasa Afghanistan kote huko alikuta watu wanaishi kwa amani na akiondoka anaacha civil war
Marekani aliikuta Taliban ikifanya hivi hivi inavyofanya sasa. Alichofanya ni kuwanyanganya fursa ya kutenda hivi. Kwani ndio aliwaambia wazuie wanawake kufanya kazi, kusoma?
 
Wrong, all terrorists are no Muslims. There are Christian terrorists too! Ever heard of CRUSADE.. that was Christian terrorism. Ever heard Ultra rightist, white nation etc in USA, that is christian terrorism.
Crusade sio terrorism bali response kwa kenge fulani waliolazimisha dini yao ndio iwe utamaduni kwenye maeneo waliyovamia kwa upanga. Ugaidi ni kutumia matukio dhidi ya raia wasio na hatia kwa nia ya kushawishi jambo fulani la kisiasa, crusade ilikuwa ni kupigana ana kwa ana dhidi ya wavamizi
 
Back
Top Bottom