STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Wanaomba ulinzi kwa tali wanatia huruma
US Gen. McKenzie:“The attacks will continue. That includes reaching out to the Taliban who are actually providing the outer security cordon around the airfield - to make sure they know what we expect them to do is to protect us."Ugaidi una uhusiano wa moja kwa mojana uislam. Hizi iman zipo zaina 3 kuna wanaoamini kawaida , kuna wa msimamo wa kati na kuna wa msimamo mkali, hawa ndo magaidai. Wewe unayeita watu makafiri upo msimamo wa kati. Na mwislam ambaye anaweza hadi kuoana na kafiri basi huyu ni msimamo wa kati. Hii ipo kwa dini zote. RC ambaye ni msimamo mkali ni mbaya sawa na gaidi. Haoni shida kuua.msabato yy hupinga kila kitu, mlokole yeue haamini kila kitu hata akiugua hatibiwi.