At least 13 US service members killed in Kabul airport attack

Not all Muslim are terrorist but all terrorist are Muslim. Explain with vivid examples.
Nakupa home work hiyo
Wrong, all terrorists are no Muslims. There are Christian terrorists too! Ever heard of CRUSADE.. that was Christian terrorism. Ever heard Ultra rightist, white nation etc in USA, that is christian terrorism.
 
Kama ilivyokuwa Iraq, Libya,Syria na sasa Afghanistan kote huko alikuta watu wanaishi kwa amani na akiondoka anaacha civil war
Marekani aliikuta Taliban ikifanya hivi hivi inavyofanya sasa. Alichofanya ni kuwanyanganya fursa ya kutenda hivi. Kwani ndio aliwaambia wazuie wanawake kufanya kazi, kusoma?
 
Wrong, all terrorists are no Muslims. There are Christian terrorists too! Ever heard of CRUSADE.. that was Christian terrorism. Ever heard Ultra rightist, white nation etc in USA, that is christian terrorism.
Crusade sio terrorism bali response kwa kenge fulani waliolazimisha dini yao ndio iwe utamaduni kwenye maeneo waliyovamia kwa upanga. Ugaidi ni kutumia matukio dhidi ya raia wasio na hatia kwa nia ya kushawishi jambo fulani la kisiasa, crusade ilikuwa ni kupigana ana kwa ana dhidi ya wavamizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…