At least 13 US service members killed in Kabul airport attack

13 dead 52 wounded.
 
Of cause ni Waislamu wenzenu kwa sababu ni Waislamu. Lakini wanachokifanya siyo kitendo cha Uislamu bali kitendo kinachokinzani na mafundisho ya Kiislamu...AMANI na UPENDO.
Huo ndio uislam pure.
 
Wrong, all terrorists are no Muslims. There are Christian terrorists too! Ever heard of CRUSADE.. that was Christian terrorism. Ever heard Ultra rightist, white nation etc in USA, that is christian terrorism.
Unaleta mambo ya karne za kumi, uliwasikia wapi wanavurumishana mabomu ya kuuana hivi kama hawa wenzako?
 
Ugaidi una uhusiano wa moja kwa mojana uislam. Hizi iman zipo zaina 3 kuna wanaoamini kawaida , kuna wa msimamo wa kati na kuna wa msimamo mkali, hawa ndo magaidai. Wewe unayeita watu makafiri upo msimamo wa kati. Na mwislam ambaye anaweza hadi kuoana na kafiri basi huyu ni msimamo wa kati. Hii ipo kwa dini zote. RC ambaye ni msimamo mkali ni mbaya sawa na gaidi. Haoni shida kuua.msabato yy hupinga kila kitu, mlokole yeue haamini kila kitu hata akiugua hatibiwi.
 
Kwahio kile walichokifanya Libya na Iraki sio ugaidi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…