At the age of 16, Kenyans bitterly need sex?

Patriot

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Posts
5,705
Reaction score
4,703
Mahakama ya Rufaa nchini Kenya imependekeza umri wa kuruhusiwa kujihusisha na ngono nchini Kenya upunguzwe kwa miaka miwili.

Kwa sasa, sheria za Kenya zinaruhusu vijana wa miaka 18 na kuendelea kufanya ngono.

Gazeti binafsi la The Standard la nchini Kenya linaripoti kuwa majaji watatu wa mahakama hiyo wapendekeza maboresho ya sheria na umri wa kuruhusiwa kufanya ngono ushushwe kutoka miaka 18 mpaka 16.

Gazeti hilo linadai kuwa majaji hao wanapingana na adhabu kali ya vifungo virefu jela wanayopewa vijana wa kiume kwa "kushiriki ngono na mabinti ambao tayari ama wanataka kuwa wakubwa."

Majaji hao wametumia mfano wa kesi moja ambayo walitupilia mbali kifungo cha mika 15 alichopatiwa mwanaume mmoja kwa kumtia mimba msichana wa miaka 17.

Pia wanadai kuwa baadhi ya wavulana na wasichana walio chini ya miaka 18 wanajihusisha na mahusiano ya kingono "wakiwa macho meupe kabisa (wakijua wafanyayo)," linaripoti gazeti hilo.

"Magereza yetu yamejawa na vijana wa kiume ambao wanatumikia vifungo virefu kwa kushiriki ngono na wasichana ambao ridhaa yao ya kufanya matendo hayo haitambuliki kisheria sababu tu hawajafikia miaka 18," majaji hao wamekaririwa wakisema.

"Yawezekana hawajafikia umri wa utu uzima lakini yawezekana tayari wameshafikia umri wa kuridhia kufanya ngono, na wanaweza kuchukua hatua sahihi na za kiweledi kuhusu maisha yao na miili yao."

Katika kesi husika, Eliud Waweru alifungwa baada kumtia mimba msichana ambaye alikuwa amemaliza kidato cha nne.

Waweru kabla alipatana na baba wa binti huyo kuwa atalipa mahari ya KSh80,000 baada ya kutoroka na mpenzi wake huyo.

Alikamatwa na kufikishwa mahakamani baada yakushindwa kulipa mahari hiyo.

Majaji wamesema kuwa msichana huyo alilazimishwa kutoa ushahidi dhidi ya Waweru na wazazi wake, jambo ambalo aliliandika kwenye barua zake mbili na kutishia kujiua.

Waweru ambaye ametumikia miaka nane ya kifungo hicho ameachiliwa huru Ijumaa iliyopita.
=====


Kenya is a developing Nation. She wishes to go faster for developed life. But, those are just wishes. What is the reality of the country’s status? It is underdeveloped! We still have famine all over the majority of these African countries.

When the fact is underdeveloped state, whereas financially powerful citizens want to be known developed, you end up with heat-generating friction. Now, it is showing up!

The high court is suggesting lowering sex consensual age to 16 years! Very, Very laughable! Very imaginary life. How can a Kenyan Court be so stupid to the extent of not consulting scientists? That should not be based on legal facts, it is a scientific fact. Did Kenya Scientists community say such useless fact that at the age of 16, the population bitterly need sex? If not why come up with such below standard suggestion? Shameful!
 
Reality my friend, at 14 I was fvckn girls my age.@16 girls are already having sex compared to other developed Nations and having a driving licence as well.
 
Your court is doing a good job, stop lamenting like a silly girl. 16 is a perfect majority age, mambo ni mengi muda hautoshi
 
The age of 18 is not scientific either, it is just a British law that has been adopted all over the world.
 
What do you want scientists to do? mitaani watotot wa miaka 16 wanabanduana wasiwasi hawana.
 
Hawa mbweha wanawaza ngono tu,mara kutambua mashoga mara miaka 16 watu wachapane kwani hao judges hawana kazi zingine za kimahakama?
Na hiyo ngono mnayoipigia debe ndio inwaletea ukame na njaa shubaamit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
When the fact is underdeveloped state, whereas financially powerful citizens want to be known developed, you end up with heat-generating friction. Now, it is showing up!
I've been looking for single sentence to summarize what Kenya has become, and this is it.
 
Write your reply...

wakenya wanajikuta wao wa-america,halafu mbaya zaidi hii mentality si wana mathare tu hadi viongozi wao wa juu
 
Write your reply...

wakenya wanajikuta wao wa-america,halafu mbaya zaidi hii mentality si wana mathare tu hadi viongozi wao wa juu
hemu tulia wewe...unamjuwa msichana wa miaka kumi na sita alivyo kweli...yani unaweza piga mechi na akakuangalia tu...dogo tangu kumi na mbili analiwa...

majaji wameona ujinga kufunga watu miaka mingi kisa kala mtoto wa miaka kumi na tano...
mtoto wa miaka kumi na sita anajuwa kunengua hadi unashangaa...au hko kwenu wako vp...
 
that's only you can think
kichwa yako imejaa kamasi budaa
 
that's only you can think
kichwa yako imejaa kamasi budaa
sasawa..mi sibishani na wewe...ila si ajabu mtoto wako wa miaka kumi na nne analiwa hko nje na dogo wa miaka ishirini pole pole tu..hku wewe ukimuona bado mdogo...

kumi na sita si mtoto mdogo bana...unaeza muacha nyumbani na ndugu zake wadogo na akawahudumia tu vizuri mpka utakapokujana kumalizia...ovias haez kuwa perfect km wewe..ila si mtoto tena
 
Well said

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What do you want scientists to do? mitaani watotot wa miaka 16 wanabanduana wasiwasi hawana.
mitaani watu wakiibiana, unaruhu wizi ufanyike? Logic?
 
Reality my friend, at 14 I was fvckn girls my age.@16 girls are already having sex compared to other developed Nations and having a driving licence as well.
We are not solving your problem! How about your gay behaviour? should it be allowed to extend for acceptance?
 
Mpuuzi hupewa mfano wa kipuuzi. What do you expect out of nonsensical question?
pole sna kw ukwel...mtoto wako wa miaka kumi na nne analiwa hko nje...endelea kujifariji tu hapa...nice time...
 
mitaani watu wakiibiana, unaruhu wizi ufanyike? Logic?
What logic are you talking about in your example? 😀 kwani akikuibia inakuwa mmekubaliana akuibie? Kama mmekubaliana basi ana ruhusa.

Mtoto wa miaka 16 ana akili timami za kitambua baya na jema. Umekariri umri ambao umeekwa na mtu bila kuwa backed na logic na scientific findings
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…