pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Mnashangazwa na maoni ya mahakama za Kenya ambazo zina uhuru wa kutafsiri katiba ya Kenya. Ila hamshangazwi na mahakama bure kabisa za Tz ambazo hazina ubavu wa kutupilia mbali kauli za ajabu ajabu zinazokiuka katiba. Kama ile ya Jiwe, ya kuwatosa kwenye maisha ya ufukara kwa kuwanyima nafasi ya kuendeleza elimu yao wanafunzi ambao wanapata ujauzito wakiwa shuleni.